Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Aisee watu walishuudia wazi wazi waliomteka na siyo, isitoshe hapo kuna ulinzi wa kufa mtu asikuambie mtu. serekali haina rafiki wa kudumu wala aduwi wakudumu. Kila mtu amtegemee Mungu wake tu. Kipindi hiki ni kipindi kigumu sana, usione watu wanaama vyama ukadhani ni wajinga, no no. Kila mtu analinda tonge lake.
 
Nami nashangaa anatembea bila wasiwasi kama kapuku mie
Mimi naona alijisahau sana kuona ana uwekezaji kwenye club ya simba na jinsi anavyokubalika na mashabiki na wanachamaa wa simba akaona ah mimi ni mtu wa watu sio rahisi kutekwa au kufanyiwa baya ohhh bongoo its not safe anymore ,watekaji sio watu wa mchezo mchezo aisitembee kiboya....mimi ningekua na mguu wa kuku halafu muda wote kujihami hujui nani ni adui yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…