Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Sasa kama katekwa na wazungu kumbe wanajulikana
 
Dar sii eneo salama kuishi. Yaani miji hatari kuishi Afrika nafikiri kwa sasa inaongozwa na Dar ikifuatiliwa kwa mbali na Mogadishu.
 
Keshaanza kujichanganya
Na usikute hapa ni kupotezea ku fail kwa mradi wa Mwendokasi aliojisifia sana Jiwe na wenzake.
Nimeangalia mateso wanayopata wana wa Dar na eti kuna mtu anayewakilisha wana Dasalama ANAUNGA MKONO JUHUDI? kweli hii hali ya Dar mbona nchi nyingine ingesha tishia kuangusha serikali?
Wasiojulikana wanatumika wakati mwingine kupoteza maboya watu, dawa yao ni Zakaria style tuu. Mwaga utumbo na fyekelea mbali!
 
jamaani watu wabaaya kosa gan asaa/ au kik
 
Ukiwa na hela shida, ukiwa masikini shida... Sasa sijui hata mtu uweje.. Ukiunga mkono juhudi shida , usipounga mkono juhudi shida pia.. Daaah
Kwa utawala huu ukiwa na pesa ndio shida kabisa
 
Wasiojulikana wamerudiii tena.....
 
Walomteka ni ma professional hawajadhuru mtu mwingine wameafata kilichowapeleka tu kwa 100% sio wabongo hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…