Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila shaka hii ni kiki ya DAB kujisafisha
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mimi mwenyewe hili tukio nimetafakari mengi sana. Nimejiuliza Mo na pesa zake zote yamempata haya. Na wengine wasio na majina mjini hapa itakuwaje. Na laiti angelijua asubuhi ya leo yangepata haya wala asingeenda huko. Ila ndiyo hivyo hakuna aijuaye kesho yake.
Nimejikuta naogopa zaidi Leo. Kama Mo anatekwa kina sisi usalama wetu ukoje? Haijalishi ametekwa Kwa sababu IPI ila ile kutekwa tu tayari ni hatari Kwa usalama wetu.
Mungu amlinde huko alipo atoke salama.
Sema hii nji bwana unaweza kuta sio wazungu wala nini likawa Kama lile tukio LA Zakaria Na Majambazi kumbe ..........
 
Ni jambo la kumshukuru Mungu kama amepatikana na pongezi kwa watanzania wote kwa kupaza sauti zao baada ya kutekwa kwa MO,
 
Back
Top Bottom