Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila shaka hii ni kiki ya DAB kujisafisha
 
Reactions: Lee
Mimi mwenyewe hili tukio nimetafakari mengi sana. Nimejiuliza Mo na pesa zake zote yamempata haya. Na wengine wasio na majina mjini hapa itakuwaje. Na laiti angelijua asubuhi ya leo yangepata haya wala asingeenda huko. Ila ndiyo hivyo hakuna aijuaye kesho yake.
 
Ni jambo la kumshukuru Mungu kama amepatikana na pongezi kwa watanzania wote kwa kupaza sauti zao baada ya kutekwa kwa MO,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…