[emoji23] [emoji122]Msituletee hadhiti za kitoto hapa.
Tuambieni amepatikana wapi na ni nani aliemteka na alikua/ walikua wanataka nini na waliagizwa na nani?
Sio "amepatikana, amepatikana" nyambaff
NebuchadinezzerSi ndo anahusika na vikundi haramu vya utekaji??
HONGERA MKUU WANGU WA MKOA PAUL MAKONDA KWA JUHUDI ZAKO ZA KUMPATA MWANACHAMA MWENZETUPONGEZI KWA JESHI LA POLICE NA WOTE WALIOFANIKISHA KUPATIKANA KWAKE.
Ok poa, thanks sis.Yes japo inawezekana sio mtekaji mwenyewe bado
Mshana nipe dawa ya kula hela za spotpesa ili na mm niwe tajiri. Asilimia kumi ya hizo hela nitakupa weweKuna maombi Mungu huyapokea kwa shingo upande
Duh, tupo kwenye wakati wa masikitiko kutokana na ukosefu wa amani na usalama wa raia lakini umepata nafasi ya kuwaza hilo? [emoji23]Leo nimeamini Tigo yangu haina guarantee ya kuwa sealed forever hata niilinde vipi
Hatari[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] hii kitu mbona ukakasi
Connection mkuu. wakati mwingine ni Kama kuangalia mpira ukiwa kwako Na ukiwa Na wenzio wapi pananoga?Ila kwa nni billionaire kama Mo dewij asiwe na gym kwnye makazi yake????
Inawezekana wamepewa amri kutoka juu kusema hayotaarifa zinasema watekaji walifunika nyuzo zao, mambosasa na kikundi chake tayari wameshajua ni wazungu. wamejuaje?
[emoji23][emoji23][emoji23]naziuzaMshana nipe dawa ya kula hela za spotpesa ili na mm niwe tajiri. Asilimia kumi ya hizo hela nitakupa wewe
Kwani kwenye makazi yake ndo hawawezi kufika? alofuatwa kazini kwake hukumsikia? Hatuko salama jamani!Ila kwa nni billionaire kama Mo dewij asiwe na gym kwnye makazi yake????