Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Nashauri magari yote ya mizigo, binafsi na abiria yapekuliwe - mashua, mitumbwi, meli, ndege vyote vichunguzwe - nyumba kwa nyumba, road blocks nk bila shaka watekaji watakosa njia na mwisho wa siku anaweza kupatikana
 
Hivi unajua kutegewa kitu hukijui mkuu au?....hata angekuwa na walinzi angetekwa tuu
Kuwa na ulinzi hakuondoi utekaji ila kunapunguza uwezekano wa mtu kutekwa kirahisi. Tuseme kwa mfano angekuwa na ulinzi wake, pengine watekaji wasingefanikiwa kumchukua kwa sababu pangekuwa na angalau upinzani wakati wa harakati za kutaka kumchuka, kutoka kwa walinzi na pia watu wengine waliokuwepo maeneo yale
 
wanadai ni wazungu. Je, kama walivaa mask za kizungu?
 
Mtu azaliwe 1975, shule ya msingi amalize 1986, yaani alimaliza elimu ya msingi akiwa na miaka 11? Hiyo sio elimu ya Tanzania na haiwezi kuwa elimu ya msingi ya miaka 7.

Vv
 
πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈπŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ
 
Mkuu kamilisha Sentesi "Mjini na mchana kweupe tena MBELE YA KAMERA "
 
Mkuu kamilisha Sentesi "Mjini na mchana kweupe tena MBELE YA KAMERA "
Asante sana, sisi tuko mikoani ila tulisikia kwamba ilikuwa mchana kweupe na ni katikati ya Mji, kumbe kulikuwa na kamera karibu !!!
 
Muhimu apatikane ,alafu na nyie mabaunsa mnaofanya mazoezi hapo mlishindwa kuwadhibiti hao wapuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…