Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Lugha alivyoiweka Makonda ndiyo imekua tatizo na hata yeye nadhani hajajua hilo au hata kama amejua atakua ameamua kutorekebisha namna alivyoongea. Kiswahili alitakiwa akiweke kwamba "Tuko hapa kuhakikisha tunawapa majibu sahihi au taarifa sahihi na taarifa sahihi ZITAKUA ni Mo amepatikana na watekaji wako mikononi mwa vyombo vya dola" Yeye ameongea ktk namna ambayo inakutaka kua makini sana kujua kwamba anaongelea kitu ambacho KITAFANYIKA. Ameongea ktk hali ambayo usipotulia vizuri unaweza kujua kwamba anaongelea jambo ambalo limeshafanyika.
 
Basi Wachina....
Hahaha natania tuu Wachina hawasemwi vibaya!
Ila watakuwa ni watu weupe tuu kama tulivyoambiwa!hahahaa
 
Kama mfupa mgumu unafanyiwa namna hii, vipi mifupa laini?
 
Yaani tatizo la kutekwa duniani wanalichukulia hatua kubwa zaidi rejea Jamal khashoghi (mwandishi wa habari)
Inategemea wewe unawakilisha interest za nani. Jamal Kashogi alikuwa anawakilisha interest za media za kimataifa WPost, nk. Afadhali kuchezea sharubu za simba kuliko kucheza na interest za marekani.
Nadhani mataifa mengi ya uarabuni kutokana na machafuko kutekwa na kupotezwa ni mambo yanayoendelea kila siku na hata hatuwezi kupata taarifa zake. Tatizo linakuja pale ambapo kutatokea mtu kachezea interest za wakubwa ndio utawasikia hata akina Trump na Pence wakitaka hatua zichukuliwe.
 
Umeandika historia yake umeambiwa amekufa?
 
Amepatika au atapatikana kwa huyu ni mamoja. Alisema Roma atapatikana tena katoa na siku ya mwisho na kweli roma kapatikana. Hivyo basi kwa sababu ni mkuu wa mkoa kasema tuamini amepatikana hata kama bado hajawakilishwa kwa umma.
 
una akili hata kidogo? kenya wangefanya nini au uganda katika situation kama hii.. eleza wewe unataka watanzania wafanye nini sasa? siyo mkishiba ugali na maharagwe mnaanza kujazana ujinga. wewe raia wa kawaida unafanya nini katika hili?
Siku nyingine ukitaka kuni quote uniombe ruhusa PM kabla ya kunijibu pumba...

Siku ukinijibu rafu nakuingiza kidole chote kwenye macro wave ya grade ya taifa,
 
Kwanza kabisa USA wanajua kila kitu *****
 
Halafu ukituma message zinakuwa delivered sasa kwa nini wasitrack simu yake
 
Dah tunaletewa movie nyingine
.sijui itakuwa na part 2?
.sijui itachezwa kwa ustadi au itafanana na zile nyingine?
.sijui inataka kumpa kiki nani ?

Wakati utasema...stay tuned....!!!!
Kuna kitu hapa. Mheshimiwa mwenye mkoa wake alikuwa kama amepotea hivi siku chache zilizopita sasa hivi naona kama anarudi ulingoni na mambo haya nayo yanarudi tena. Yawezekana kuna ka uhusiano
 
hahaa mambo sasa anatafuta watekaji kumbe ..mmoja wapo umejificha huku ...Mo kakufanya nini mkuu au kakuchukulia mkeo ?
Mkuu wachaa bangiii zakoo ...nishakuambia jini unaloishi naloo litakupelekaa babaya ...

Wanatekana wanatusumbua
 
haya tulizoea kuyasikia nchi za afrika magaharibi!! sasa yameingia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…