Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Hiyo keyword "wazungu" ....inasukumwa masikioni mwetu kwa nguvu......why?
Hata kama ni wazungu si lazima wawe raia wa kigeni..
Wanaweza wakawa watanzania..
Nimeshangaa sana conclusion ya hawa polisi na makonda
 
Hivi ninge tekwa mimi...mnge guswa kiasi kama hichi
Tofauti na familia yako hapana... Hata watoto wako wataadhibiwa utoro wasipoenda shule... Barozi ataenda shamba.
Ila wewe chinja mtu uone tutakavyoguswa.
 
amani amani amani. huyo ni mtu mkubwa kutekwa aisee. Serikali ifanye kila aina ya mbinu apatikane.
 
Nauliza tu swali la kichokozi. TISS na polisi wakifuatilia huku mitandaoni hawawezi kupata CLUE za watekaji? Kama upo huo uwezekano inabidi ufanyiwe kazi, maana kuna teknolojia za kuwezesha hilo. Otherwise kwaheri.....
 
Pamoja na polisi wetu kuonyesha udhaifu mkubwa kwa namna wanavyshughulikia uhalifu kwa mifano (Matukio yaliyovuma sana ya watu kutekwa na kuuwawa, na tukio la kupigwa risasi Mb. Tundu Lissu), kwa hili tuwashauri polisi yakipita masaa 24 hajapatikana, basi waombe msaada vyombo vya nje ikiwepo interpol/FBI watusaidie kuwasaka hawa watekaji. Kwa tukio hili nchi inaweza kupata hasara kubwa sana, ukizingatia huyu Mo anatambulika kimataifa na network yake inalipa taiafa hadhi kubwa kuliko sisi maskini ambao hata tukipotea mia moja serikali inaweza kufumba macho na maisha yakaendelea kama hakuna kilichotokea.
Yaani tatizo la kutekwa duniani wanalichukulia hatua kubwa zaidi rejea Jamal khashoghi (mwandishi wa habari)
 
Mo akipatikana ataongeza security guards
Matajiri wote wataongeza
 
Kama Mkuu wa Mkoa wa Dar kasema hivyo hadharani, na amenukuliwa na vyombo vya habari basi kuna haja ya kuangalia hili suala upya, yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa.

Hivyo mimi sibezi taarifa zake. Kama zinakanushwa kwa sasa ni kwa maslahi ya nani?
 
Chadema ndiyo wamepata kichaka cha kujificha.

Hutawaona wakiongelea mbunge wao akiuewakimbia Ukerewe
Nenda kajadili hiyo thread,kwako ndiyo muhimu kuliko uhai wa Mo,

Au nyie ndiyo mmemteka mnajua alipo ,sasa mnataka kuhamisha goli,ipo siku mtajulikana tu.
 
je unafkiri ilitokea kwa baatimbaya?
ivi kwa nn wasitoe security footage
ili watu wanaowajua wawasaidie?
ni vipi waljua ni wazungu wakati mashuuda wanasema watekaji walvaa kininja?
hawawezi kusema uraia wao sabab itaathiri mahusiano ya kidiplomasia kama ni uwongo...

joto lmezidi so atapatikana sjui lini lkn myb watekaji wakitimiza adhma yao
Ni uchafuzi mkubwa sana kiuwekezaji nchini ni hatari kubwa sana kitaifa.
 
Mpaka sasa hivi bado haijajulikana alipo? vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitaonekana ni dhaifu sana iwapo mpk saa karibu sita bado mtu hajapatikana

Tuombe tu giza lisiingie tukapata kauli kama ya mwanza. Bwana aendelee kumuweka hai huko alipo mtanzania mwenzetu
Polisi yetu ilishapoteza matumaini kwa Watanzania,
Matukio kama haya imeyafumbia macho sana,
Sasa wanakuja na habari za hovyo hovyo eti Wazungu 2 walionekana wakimteka ,lakini haisemi imefanya nini mpaka sasa kufahamu alipo.
 
Back
Top Bottom