Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Nilihisi utakuwa ni zero brain i wanted to prove.sijui nyie vilaza mnaachwaje muwe humu jf kuchanganyika na intelligent people.

Malezi, makuzi na hata akili ndogo tu ya kuzaliwa umekosa.nmekuuliza wakenya wangefanya nini hujajua hata ujibu nini nyie mnajaza tu server na ni hasara kwa taifa. May God have mercy on you.

Siku nyingine ukitaka kuni quote uniombe ruhusa PM kabla ya kunijibu pumba...

Siku ukinijibu rafu nakuingiza kidole chote kwenye macro wave ya grade ya taifa,
 
Kwani ni mara ngapi polisi hawa hawa wamekuwa wakipindisha ukweli wa mambo?
Sijui kwa kweli ila huwezi kutumia experiences za nyuma bila kuwa na facts. Sasa kama mtu anaquestion maelezo ya polisi kwa kulinganisha maelezo na ya dereva wa uba ambaye amekiri muda mwingi alijiinamia kwa hofu, kwa nini tusihoji maelezo ya dereva wa uba nae kwa vile kakiri hakuangalia tukio zima mwanzo mwisho? Nae hakuona kila kitu?

Kumbuka sihoji credibility ya dereva wa uba wala polisi, bali nahoji facts za kwa nini kuquestion maelezo ya polisi.

Asante.
 
serikali inayo ongozwa na kichaa unadhani unaweza kuliona hilo kama ambavyo wewe umeliona "...? Mbona mnalazimisha chizi aweze kuwa na Akili timamu ""?
Mmh,,watu kweli mmepinda,,haya mkuu umeshinda
 
Kwanza kabisa USA wanajua kila kitu *****
ni kweli kabisa. wamewekeza sana kwenye teknolojia za kusikiliza kila linalopangwa hapa duniani. pale wanapoona kuna mambo yao wanaweza kuzuia au kuwapotezea. ninaamini kuna watu wapo tu ofisinikwenye viyoyozi huko marekani ukiwapa nusu saa wanakuonyesha hadi Mo alipo na ramani wanakupa. sisi bado tumewekeza kwenye kutumia nguvu zaidi bila teknolojia na akili.
 
Halafu ukituma message zinakuwa delivered sasa kwa nini wasitrack simu yake
Nani kakwambia simu anayo huko alikotekwa?? Hivi watekaji unaona ni watu ambao hazimo kiasi hicho? Yaani wakuteke halafu uko na simu yako!!!! Simu yake itakua ilibaki kwenye gari, kumbuka alikua anakwenda Gym kwa hiyo simu na vitu vingine atakua aliviacha ndani ya gari. Pia muda huu simu inaweza kua mikononi mwa polisi, wewe endelea kutuma msg wakuje wakuchukue ukasaidie upelelezi.
 
Lakini kumbukeni kwenye mitandao kuna shida ya maneno ya bashiru na usafiri dar ila nakumbusha tuu
 
Mbona tweet ya mwananchi official ilisema kabisa msaidizi wa RPC kathibitisha MO kapatikana?

Hivi sasa hiyo tweet inaonekana wameifuta ila kwa Mange Instagram ipo.

Wamejichanganya wenyewe.
 
Yani kwanza kwa nchi zetu maskini hizi yani wanaongea na rahisi direct na kumtisha
 

Kujiinamia ni kufunga macho?
 
Sema wachezaji wa simba wana hali gani maana mishahara hapo ndiyo kitendawili
 
Mbona tweet ya mwananchi official ilisema kabisa msaidizi wa RPC kathibitisha MO kapatikana?

Hivi sasa hiyo tweet inaonekana wameifuta ila kwa Mange Instagram ipo.

Wamejichanganya wenyewe.
Hiyo tweet na taarifa zingine kama Milad Ayo, walimquote Makonda jinsi alivyoongea kama nilivyoeleza hapo. Waandishi wengi wa habari walikwenda katika mtazamo huo. Huyo msaidizi wa RPC alichomekwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…