Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Jamaa una mawazo mazuri, lakini amka kwanza, yaoneka uliandika ukiwa umelala
Sikuelewi tatizo lako maudhui ama uandishi. Lengo post ,kufikirisha mbinu za maendeleo ya science kupata majibu wanaopotea Sio MO pekee.
 
Hii lugha gani umeandika?
Shule ulienda kusomea haya madudu?
 
Akuna kitu nilikuwa na mpost ben wa saa nane kila muda paka leo ajarudishwa
 
Yule jamaa miaka yote hanaga mabaunsa hata ndugu zake na babake hawanaga manaunsa, mlinzi ni Mungu tu bro kama unaishi na watu vizuri mabaunsa wa nini?
Najua na kiukweli huyu jamaa hajawahi kuwa na timbwili na mtu yeyote
 
Mm bado namfikiria Ben Saanane,huyo wa jana hata mwezi hujaisha mnawaza!...
 
Kama vile kaukweli kapo
 
Jiji kubwa kama dar na eneo sensitive kama oysterbay au masaki halina hata CCTV camera?? Ngoja tuunge mkono juhudi walahi..
Nani kakwambia hakukuwa na cctv camera?

Mambo mengine muwemnachunguza kwanza kabla ya kucomment.

ASANTE
 
Tuna amani ya bandia awamu hii ya 5... ukweli usifichwe.
 
Kutekwa kwa raia yeyote yule ni ishara mbaya...haijalishi huyo mtu ni maarufu au mtu wa kawaida kama mimi.

Tanzania sio nchi ya kwanza dunia tukio kama hili kutokea...haya mambo yanatokea sana hata ulaya na marekani.

Halafu usipende kuhukumu moja kwa moja kana kwamba unafahamu nani kamteka na ni kwanini.

Muhimu ni kuonesha ushirikiano kwa jeshi la polisi.

ASANTE
 

Point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…