Alivyopotea alivyopotea Ben Sanane then yule muandishi wa gazeti la mwananchi, iliandikwa na kusemwa sana bring back our Azory.....( kama nimekosea jina mnisamehe) hadi leo hawajawahi kuwarudisha na bring back zikafa kibudu...... Tuwaombee kwa Mungu awatunze huko wanakopelekwa, wakiamua kuwarudisha na iwe heri....... Moyo wangu unauma napata hasira lakini lakufanya sina zaidi ya kuomba tuhabal wanna bod
vijana wa jf tunafahamu fika @ mo dewj alivo mkarimu, mweny kupenda kutoa msaada kwa watu wa kila rika .Nadhan na sisi tumwoneshe tuna mjali kwa kiasi gani .si mbya tukafanya Compaign ya #BringBack mo ,ama turudishiwe mo wetu
huu ni mtazamo wangu jamn
Hapo kwenye ushirikiano,mmmh bora lawama!Kutekwa kwa raia yeyote yule ni ishara mbaya...haijalishi huyo mtu ni maarufu au mtu wa kawaida kama mimi.
Tanzania sio nchi ya kwanza dunia tukio kama hili kutokea...haya mambo yanatokea sana hata ulaya na marekani.
Halafu usipende kuhukumu moja kwa moja kana kwamba unafahamu nani kamteka na ni kwanini.
Muhimu ni kuonesha ushirikiano kwa jeshi la polisi.
ASANTE
Alivyopotea alivyopotea Ben Sanane then yule muandishi wa gazeti la mwananchi, iliandikwa na kusemwa sana bring back our Azory.....( kama nimekosea jina mnisamehe) hadi leo hawajawahi kuwarudisha na bring back zikafa kibudu...... Tuwaombee kwa Mungu awatunze huko wanakopelekwa, wakiamua kuwarudisha na iwe heri....... Moyo wangu unauma napata hasira lakini lakufanya sina zaidi ya kuomba tu
Huo ujumbe tunamfikishia nani kwanza?habal wanna bod
vijana wa jf tunafahamu fika @ mo dewj alivo mkarimu, mweny kupenda kutoa msaada kwa watu wa kila rika .Nadhan na sisi tumwoneshe tuna mjali kwa kiasi gani .si mbya tukafanya Compaign ya #BringBack mo ,ama turudishiwe mo wetu
huu ni mtazamo wangu jamn
Si kosa kutokuelewa haraka,jipe muda.Ameandika kitu gani huyu
habal wanna bod
vijana wa jf tunafahamu fika @ mo dewj alivo mkarimu, mweny kupenda kutoa msaada kwa watu wa kila rika .Nadhan na sisi tumwoneshe tuna mjali kwa kiasi gani .si mbya tukafanya Compaign ya #BringBack mo ,ama turudishiwe mo wetu
huu ni mtazamo wangu jamn
Unaonaje tukimuita buttocks kwa kiswahili..Hauna tusi lolote karibu umtupie?
nafikiri uliyemjibu anamaanisha street camera sio zile za hoteliniNani kakwambia hakukuwa na cctv camera?
Mambo mengine muwemnachunguza kwanza kabla ya kucomment.
ASANTE
Aah sawanafikiri uliyemjibu anamaanisha street camera sio zile za hotelini
mkuu ww ndo umemshikilia ama?Hawezi rudi kwa hashtag.
Tulishashindwa kuleta change wacha tupate tabu
Who cares? Akili za kibashite bashite zipo short sited kwenye mambo ya siasa tu, kuhamisha mijadala kwenye mambo ya muhimu tujadili utekaji ambao wao ndio wasababishajiUnaruka mkojo unakanyaga mavi, huoni kuwa ndo wanazidi kutarnish image ya nchi kipumbavu zaidi
lazima tu rise sauti zetu ili serikali iwe serious na matukio kma haya next time unaweza potea ata ww mkuuHuo ujumbe tunamfikishia nani kwanza?
Tulia jeshi la polisi lifanye kazi yake.
ASANTE
the issue here is about humanity.its not about colour or weath . be serious dudeWewe ungepotea India unafikiri Wahindi wangepoteza muda na wewe? Kwanza hata kaburi la kuzikwa wangegoma kukupa. Angalia maisha yako na watu wako, huyo ni bilionea hata akifa Ukoo wake kote mpaka India hawana shida!