Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

UMeleta maelezo ya kutekwa kwake, sasa tena unaleta historia ya maisha yake, kwani amefariki? Au unadhani kwa kuleta mafanikio yake watamurudisha. KUna mambo muhimu ya kujadili juu ya kutekwa kwake, wewe unaleta uchafu tu na kuongeza hadithi nje ya thrd! Acha kuhusudu maisha ya watu, jadili tuone unavyofikiri.
Ndugu tumia kinywa chako kuongea ya maana na sio kutoa uharo..
Hayo maelezo mengine baada tu ya hiyo taarifa ya kupotea kwa MO yamewekwa na Mods wa JF..
Maelezo hayo ni mazuri sana yanampa nafasi mtu ambae hamjui MO amjue huyu ni nani.Sio kila mtu anamfahamu.
Kwa taarifa yako huyu ni Tajiri no 4 katika bara la Africa according to Forbes..
Upo Dunia gani Ndugu..u seem to be so PRIMITIVE.
 
Acha kupurukuka kijana mdogo, wachie wanaume wanaume wafanye kazi yao kwa uweledi, ndio Maana jamaa lenu likawita boys walahi!
Angalia news kuna watu wawili maarufu kuliko mo wametekwe, sasa sijui SAUDIA, Turky, China nako pia ni kwa JPM?
Jiongeze kidogo walahi
It's a shame kuona comment kama hii, wanaume gani hao unaowaongelea? Yule wa Saudia alienda kwenye balozi huko Turkey akapotelea humo, yule wa China alikamatwa na kushikiliwa na BEIJING, Je MO YUPO WAPI SAIVI? ? Probably you know his destiny that's why your talking and commenting nonsense. Is this happening accidentally? It is not too late the truth will come out, Mungu hana urafiki na wanafiki.
 
Watu wenyewe wanatajwa walikuwa wamevalia kininja, Mambosasa anasema ni wazungu, hapo inamanisha watekaji ni weupe kwa sura plus hizo maski walizovalia inanipa picha kuamini hawa ni Al-shabaab.

ni ngumu sana kuamini aya wanayoongea akina mambosasa, naona kama tunachezewa tu michezo, naweza ata kudhania kuwa uyu Mo dewji atakuwa kwake kapumzika akiangalia sarakazi zao hawa CCM wakituzuga ili kuficha kitu fulani,

uyu uyu makonda wakati ule kukiwa na tukio muhimu la kusomwa bajeti na kutathmini bajeti iliyopita alileta tamthilia ya kuwasaidia wamama walotelekezwa mpaka leo hakuna lolote la maana lililofanyika
 
Siku zote Adui yako huangalia udhaifu ulionao na kupita kwenye njia zako hasa zile nyeusi. Hili swala ni pana na sisi wananchi hatuna budi kuliacha kwa vyombo vya Intelijensia kufanya kazi yake kwa upana na kuja na majibu sahihi ili kumwokoa msichana mzuri na Kigori (Bongo) kutoka kwa mapapa wanaotaka kuivuna bikra yake kinguvu.

Lilianzia kwa mwanasiasa nguli na mashuhuri, Likatelezea kwake mmiliki kwa msanii mashuhuri mwenye mtazamo hasi na mwenendo wake na sasa kwa Mfanyabiashara mashuhuli,

Mungu mlinde kijana huyu MO na maovu yote, na pia endelea kumpigania msichana huyu mrembo mtarajiwa lulu ya dunia.
Ahsante!!!
..ndugu yangu hapa Bongo pana Intelijensia??Mangapi yamepita mpaka Leo hatuna majibu Nayo?Na yale waliyoyatolea majibu yameacha maswali mengi kuliko majibu..Rudia majibu yaliyotolewa kwenye case ya Akwelina...Bongo siasa nyingi hakuna Intel hapo nikumuombea tu Mo basi
 
ni ngumu sana kuamini aya wanayoongea akina mambosasa, naona kama tunachezewa tu michezo, naweza ata kudhania kuwa uyu Mo dewji atakuwa kwake kapumzika akiangalia sarakazi zao hawa CCM wakituzuga ili kuficha kitu fulani,

uyu uyu makonda wakati ule kukiwa na tukio muhimu la kusomwa bajeti na kutathmini bajeti iliyopita alileta tamthilia ya kuwasaidia wamama walotelekezwa mpaka leo hakuna lolote la maana lililofanyika
Seriki iliyoshindwa kila kila kitu ni hatari
 
Hakuna kitu kama hicho, sema Muhindi Mtanzania maslahi!
Hiyo ni akili yako,ila ukiangalia passport yake utaifa ni Mtanzania!Kwa mujibu wa katiba yetu wao ni watanzania na wana haki zote kama ulizonazo wewe!Ndio maana Kinana akawa katibu mkuu CCM japo ana asili ya somalia!
Ndio maana Rostam alikuwa mbunge na mjumbe wa NEC CCM!
Ndio maana Zungu alikuwa mnec na Mwenyekiti wa bunge!Ndio maana mama Mwinyi alikuwa first lady!
 
Alitekwa ufaransa na watu ambao wanasadikiwa ni wana usalama wa china. All in all lakn bado hajapatikana.
Ni china alikuwa anatoka ufaransa na mbona kashapatikana na kashajizulu nafasi yke ya interpol yupo mikononi mwa serikali ya china
 
Hiyo ni akili yako,ila ukiangalia passport yake utaifa ni Mtanzania!Kwa mujibu wa katiba yetu wao ni watanzania na wana haki zote kama ulizonazo wewe!Ndio maana Kinana akawa katibu mkuu CCM japo ana asili ya somalia!
Ndio maana Rostam alikuwa mbunge na mjumbe wa NEC CCM!
Ndio maana Zungu alikuwa mnec na Mwenyekiti wa bunge!Ndio mama Mwinyi alikuwa first lady!

Umekuwa brainwashed hivyo ndo maana unaami hivyo, lkn wao Wahindi hawaamini hivyo nawajua vizuri sana nimekaa nao, nimesoma nao na nimehang out nao, wanatumia Utanzania wanapouhitaji tu, unafikiri kwa nini Idi Amini alipowafukuza Uganda walienda Uingereza/India? wewe unaweza kufukuzwa Tanzania ukaenda India?

Kwanza hata likizo wengi wanakwenda India, wana ndugu zao huko!
 
Ndugu tumia kinywa chako kuongea ya maana na sio kutoa uharo..
Hayo maelezo mengine baada tu ya hiyo taarifa ya kupotea kwa MO yamewekwa na Mods wa JF..
Maelezo hayo ni mazuri sana yanampa nafasi mtu ambae hamjui MO amjue huyu ni nani.Sio kila mtu anamfahamu.
Kwa taarifa yako huyu ni Tajiri no 4 katika bara la Africa according to Forbes..
Upo Dunia gani Ndugu..u seem to be so PRIMITIVE.
Sijali nani kaweka maelezo hayo maana naona wewe ndo unatetea. Kwani amefariki? Ni kama munaleta wasifu wa marehemu! You are wrong! Unajua umaarufu wake haumfanyi asiwe binadamu? hata uwe mfalme au malkia, we bado ni binadamu. awe wa nne au maskini, yanahusu nini na kutekwa. Hapa JF lazima uwe na mtindo wa uandishi. siyo utusimulie tusiyoyahitaji.
 
Madrama yameanza. Nahisi inatafutwa justification ya matukio ya nyuma kuwa walengwa wa watu wasiojulikana sio wanasiasa wa upinzani peke yao. Agenda setting...
Unaruka mkojo unakanyaga mavi, huoni kuwa ndo wanazidi kutarnish image ya nchi kipumbavu zaidi
 
Umekuwa brainwashed hivyo ndo maana unaami hivyo, lkn wao Wahindi hawaamini hivyo nawajua vizuri sana nimekaa nao, nimesoma nao na nimehang out nao, wanatumia Utanzania wanapouhitaji tu, unafikiri kwa nini Idi Amini alipowafukuza Uganda walienda Uingereza/India? wewe unaweza kufukuzwa Tanzania ukaenda India?

Kwanza hata likizo wengi wanakwenda India, wana ndugu zao huko!
Sijui unazungumza lugha gani?Hii mbegu ya ubaguzi mnaisambaza sana huko lumumba!Mara makabila,mara utanzania
Kivyovyote vile,ilimradi wana vielelezo vya utanzania basi wao ni watanzania!
Baki na ujinga waki hivyo na roho ya kibaguzi,ila kwanza ungeanza kumbagua kinana,Rostam,Zungu,Mama Mwinyi na wengine wengi waliojaa huko ccm!
 
Bwana mkubwa umejuaje ni wazungu, tena RAIA wa kigeni? Kwani Tanzania hatuna wazungu ambao wana uraia wa nchi yetu?
Utajuaje ni wazungu na si waarabu, wahindi au wengineo????!! Mashuhuda wanasema watekaji walikuwa wanne nyie mnasema amechukuliwa na wawili, wale wawili wengine walibaki eneo la tukio?
Hebu tujiulize haya?
 
Ukiwa unaangalia mambo kwa jicho la tatu, bila ushabiki na unafiki.... utaona bora ukale tu popcorn ukalale.
Mfumo wa ulinzi na usalama wa raia wa nchi hii umeingiliwa na siasa... inafika hatua hujui siasa ni ipi na professionalism ni ipi.

Anyway, siombei kuwa litokee, lakini hebu fikiria siku itokee mtoto wa Rais ametekwa, jiulize itatumika dakika ngapi zitapita kabla hajapatikana.
 
Umepotea, Kiwango cha MO sio chakutekwa na wahuni.
Unajua definition ya mhuni? Akishaitwa MTU ambae uajulikani kila jina baya ni lake, mwizi, jambazi, ni kitu kile, all in all issue ya no sio ya kuongea kama unavyofikiri najua status ya mo
 
Back
Top Bottom