MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
- Thread starter
- #1,561
Ndugu tumia kinywa chako kuongea ya maana na sio kutoa uharo..UMeleta maelezo ya kutekwa kwake, sasa tena unaleta historia ya maisha yake, kwani amefariki? Au unadhani kwa kuleta mafanikio yake watamurudisha. KUna mambo muhimu ya kujadili juu ya kutekwa kwake, wewe unaleta uchafu tu na kuongeza hadithi nje ya thrd! Acha kuhusudu maisha ya watu, jadili tuone unavyofikiri.
Hayo maelezo mengine baada tu ya hiyo taarifa ya kupotea kwa MO yamewekwa na Mods wa JF..
Maelezo hayo ni mazuri sana yanampa nafasi mtu ambae hamjui MO amjue huyu ni nani.Sio kila mtu anamfahamu.
Kwa taarifa yako huyu ni Tajiri no 4 katika bara la Africa according to Forbes..
Upo Dunia gani Ndugu..u seem to be so PRIMITIVE.