Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Sijui unazungumza lugha gani?Hii mbegu ya ubaguzi mnaisambaza sana huko lumumba!Mara makabila,mara utanzania
Kivyovyote vile,ilimradi wana vielelezo vya utanzania basi wao ni watanzania!
Baki na ujinga waki hivyo na roho ya kibaguzi,ila kwanza ungeanza kumbagua kinana,Rostam,Zungu,Mama Mwinyi na wengine wengi waliojaa huko ccm!
Hao watu wamezoea kubagua , Akitoa pesa za misaada anakuwa mtanzania mweusi na mwenzetu , Baniani kiatu chake dawa