Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Sijui unazungumza lugha gani?Hii mbegu ya ubaguzi mnaisambaza sana huko lumumba!Mara makabila,mara utanzania
Kivyovyote vile,ilimradi wana vielelezo vya utanzania basi wao ni watanzania!
Baki na ujinga waki hivyo na roho ya kibaguzi,ila kwanza ungeanza kumbagua kinana,Rostam,Zungu,Mama Mwinyi na wengine wengi waliojaa huko ccm!

Hao watu wamezoea kubagua , Akitoa pesa za misaada anakuwa mtanzania mweusi na mwenzetu , Baniani kiatu chake dawa
 
Zakariya alivamiwa na watu wasiojulikana akawapiga risasi mwisho tukaambiwa walikua askari, Zakaria sasa tunasikia yuko ndani na anarudisha mali yote aliyo nunua serikalini. Mo pia ni katika wafanyabiashara walio nunua viwanda vya serikali kwa bei poa kabisa. Tusije kusikia na yeye anarudisha mali ya serikali.
 
Hivi inakuwaje watu wanapanga mipango ya utekaji na hadi inafanikiwa,wanamchukua mtu na kumpeleka kusikojulikana na usalama wapo tu,au wapo kwa ajili ya usalama wa chama cha mapinduzi kama polisi
 
“Alinunua viwanda vya nguo na mafuta vilivyokuwa vinamilikiwa na Serikali kwa bei ndogo na kuvifanya viwe na faida zaidi kwa kutumia mtindo wa kisasa wa menejimenti,” inaongeza ripoti hiyo.
Metl ina viwanda vya kutengeneza nguo na bidhaa nyingine za matumizi ya binadamu vikiwamo vyakula, sabuni na vinywaji. Pia ina mapato yanayozidi Dola 1.4 milioni za Marekani (Sh2.5 trilioni) kwa mwaka.

source: post ya kwanza ya uzi huu.
=====
Kuna ukweli juuya hili ?
 
Ni ukweli mkuu

Hiyo ni akili yako,ila ukiangalia passport yake utaifa ni Mtanzania!Kwa mujibu wa katiba yetu wao ni watanzania na wana haki zote kama ulizonazo wewe!Ndio maana Kinana akawa katibu mkuu CCM japo ana asili ya somalia!
Ndio maana Rostam alikuwa mbunge na mjumbe wa NEC CCM!
Ndio maana Zungu alikuwa mnec na Mwenyekiti wa bunge!Ndio maana mama Mwinyi alikuwa first lady!
Na ndio maana jiwe rafudhi yake haibadiliki.
 
Back
Top Bottom