Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,546
We kwani hili ni tukio la kwanza kutokea mtu kutekwa Tanzania....lazima tu rise sauti zetu ili serikali iwe serious na matukio kma haya next time unaweza potea ata ww mkuu
Mimi nipo neutral,siwezi kusema ni serikali au ni maadui zake kibiashara au ransom..wewe ni nani hadi utuaminishe kuwa ni maadui zake ndo waliofanya hivyo??..kwa nini usiwasaidie polisi sasa??Kwahiyo ni serikali?Mbona ikitajwa serikali huji juu?
the issue here is about humanity.its not about colour or weath . be serious dude
Tatizo anafikiria tupo huko kwa watumia hashtag,Hawezi rudi kwa hashtag.
Tulishashindwa kuleta change wacha tupate tabu
Huu ndo ukweliHawezi rudi kwa hashtag.
Tulishashindwa kuleta change wacha tupate tabu
Muhimu wawepo ili maisha yakamilike.Wabongo ni wasengerema sanaaa afu wanaaa kinoma
Nani kakwambia hakukuwa na cctv camera?
Mambo mengine muwemnachunguza kwanza kabla ya kucomment.
ASANTE
Kifaa cha ki electronic kinachowekwa ktk mwili wa mwanadamu ama mnyama kinachosaidia Ku program matumizi vifaa kama ATM,kuwasha gari, track GPS location, monitor watoto wa shule nk. Binafsi Nina Amini kwa Mungu na science. Endapo MO anakifaa hicho mwilini mwake, anaweza patikana kwa urahisi zaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji481]Dah ulichoandika nimeona aibu mimi
Nimekuelewa mkuu...Sizungumzii Colosseum hotel, nazungumzia eneo zima la oysterbay na masaki kama sensitive area ambalo wanakaa mabalozi na viongozi mbalimbali.. Pia hata hapo colleseum hotel lazima ziwepo tena zile ambazo ni very sensitive..Inamaana oysterbay inalia risasi asubuhi hakuna recovery au patrol ya karibu na pale colosseum ambayo ingewahi haraka hata kuwakimbiza watekaji?? NAINGALIA NA KUIZUNGUMZIA MASAKI/OYSTERBAY KAMA SENSITIVE AREA LIBALOTAKIWA KUWA NA SENSITIVE SECURITY..
Unawaza ujinga mkuu. Hii sio SCIFI movie.Kifaa cha ki electronic kinachowekwa ktk mwili wa mwanadamu ama mnyama kinachosaidia Ku program matumizi vifaa kama ATM,kuwasha gari, track GPS location, monitor watoto wa shule nk. Binafsi Nina Amini kwa Mungu na science. Endapo MO anakifaa hicho mwilini mwake, anaweza patikana kwa urahisi zaidi.
Mkuu zile za buku znaitwa igo ndio huwa tunagonga cc wa mikoani usitutukanieMleta uzi alikuwa na lengo zuri sema huenda jana alitandika zile bia za buku buku ndo huwa zinasababisha uandishi wa namna hii
AiseeeeDah!, nawe ni binadamu mwenye kichwa!!! Ni afadhali usingezaliwa. Unatupotezea oxygen bure!!!
Finally umeupata,bravoo!Nilikuwa natafuta uzi ambao mtoa mada kaukimbia kutokana na response ya wachangiaji.
Tusi liko wapi hapo mkuuMkuu zile za buku znaitwa igo ndio huwa tunagonga cc wa mikoani usitutukanie