Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,546
We kwani hili ni tukio la kwanza kutokea mtu kutekwa Tanzania....lazima tu rise sauti zetu ili serikali iwe serious na matukio kma haya next time unaweza potea ata ww mkuu
Kwa matukio yale ya nyuma uli rise hiyo sauti?
Halafu kwenye maswala kama haya hakunaga cha kusema ushawushi watu...we kama unaona kuna haja ya ku rise voice.
Anza wewe kwanza wengine watafuata.
ASANTE