Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Wewe sema unamfahamu ni fulani basi! Mambo statements za jumla na kujidai yalitokea sijui kwa nani, hata leo ni hivyo, huo ni uzembe wa kufikiri. muuaji nchi hii ni mmoja? mwizi nchi hii ni mmoja? muharifu nchi hii ni mmjoja? Tusiwe wazembe wa kufikiri.
 
Wewe ungepotea India unafikiri Wahindi wangepoteza muda na wewe? Kwanza hata kaburi la kuzikwa wangegoma kukupa. Angalia maisha yako na watu wako, huyo ni bilionea hata akifa Ukoo wake kote mpaka India hawana shida!
Uhai wake ni zaidi ya utahiri wake.
Tafakari!
 
Hivi kwanini wale jamaa wanaomlinda jamaa na mitutu ya bunduki na nguo Za mabaka wasisaidie kumtafuta huyu ndugu yetu? Au zile ni mbwembwe?
 

the audacity [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutafakari maneno ya dewji siku kadhaa zilizopita..!! Mimi kwa upande wangu nimefunga mjadala.. Ni nani anapenda kukopa kopa..!! Nani anawatishia wafanyabiashara wampe pesa na misaada ili akauze sura kwenye kamera akitoa misaada. Nani ana skendo za hizi za kutumia nafasi yake!!

Moh asipopatikana na simba ikaanza kupata taabu kama ya Yanga ni hakika ukweli utajulikana...chezea watu wengine si wanamichezo...!! Nina hakika hasira zao watazionyesha wazi wazi!!
 
Habari za kuhuzunisha ni kuwa huyu mtu kupatikana imeshakuwa jambo gumu. Muda aliotekwa hadi kuanza kwa msako ni hayapungui masaa matatu, ambapo muda huo watekaji walishaweza kumfikisha kwenye mapori ya mkoa wa Pwani au Morogoro
Na wala hawawezi kwenda huko manake wanaweza kufanya assumption kwamba police wangeweza ku-react mapema na hivyo kuweka vizuizi kwenye barabarani hususani ya Kilwa Roand na ile iendayo Kisarawe! Pale si karibu na bahari! Unaenda kufanya tukio huku speed boat ikiwa standby! Mkishapata mtu wenu, moja kwa moja mlipoegesha boti itakayowatoa kwenye eneo la tukio kwa haraka! Huko mbele za safari, unamtoa kwenye boti ambayo inaweza ku-catch attention unamwingiza kwenye mashua ya uvuvi yenye wavuvi fake!

Hapo mtaenda na "mzigo" wenu hadi Mombasa bila kokoro! Kinyume chake, mnaweza kutia nanga maji marefu huku wavuvi fake wakijifanya wapo bize na nyavu huku wenye mchezo wao wakifanya chochote na mateka wao hadi watakapohitimisha walichokusudia kufanya!
 
Wewe updates ulizonazo so far ni zipi??
Sina ila kiukweli wengi tulitegemea kupata humu kama January kasema nini, zitto kasema nini, hali ya family na mengineyo.... That was the listen beauty of JF....... Sa tunayapata kwingine tu
 
achane hisia vyombo vya shilingi si vipo jamaani tusubiri riport ya mwisho.
 
Tunacho mshukuru Moh ni U-CCM wake....... Laiti kama angekuwa M4C JPM angehusishwa
 
JAMANI MWENYE ACCESS NA MILLADI AYO BLOG AANGALIE, NASIKIA KM KALIPOTIWA KUPATIKANA, PLZZ CONFIRMUNI JMN
 
Kamanda wa Polisi Kinondoni, Jumanne Muliro ameshaongea.

Kamanda wa Kanda Maalumu ya kipolisi Lazaro Mambosasa ameshazungumza,

Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ameshazungumza,

Sijasikia kauli ya waziri wa mambo ya ndani Kagi Lugola ambaye ndiye mwenye dhamana ya usalama wa raia, au bado anajipanga tuendelee kusubiri.

Siyo kawaida yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…