Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Ujue mwenyekiti wako alichowafanya watanzania hadi wamepoteana nchi imejaa hofu hata kama una ukweli utauficha kuna watu kwenye system watavuliwa nguo

Tukio la lissu ilitosha kuonesha kuwa nchi hii haina amani dereva wa lissu na chadema hawana mamlaka ya kuzuia uchunguzi wala kuzuia kutumika cctv camera za area c kuonesha ni wakina nani wasiojulikana.

Hata aliemtolea nape bastola alishindwa kukamatwa???

Nchi imeyumba vyombo vya dora vinatetea tabaka tawala.
 
Kuna msemo usemao mtu anapotoa hewa chafu usije yalaumu makalio kwa mlio ule utakao toka yale ni spika tu!!radio iko ndani huko!!!tafakari chukua hatua
 
Yaani Laki laki kila siku kwa miaka 27 aisee!!!

Umaskini ukoo mzima bye bye !!!
 
Ujue mwenyekiti wako alichowafanya watanzania hadi wamepoteana nchi imejaa hofu hata kama una ukweli utauficha kuna watu kwenye system watavuliwa nguo

Tukio la lissu ilitosha kuonesha kuwa nchi hii haina amani dereva wa lissu na chadema hawana mamlaka ya kuzuia uchunguzi wala kuzuia kutumika cctv camera za area c kuonesha ni wakina nani wasiojulikana.

Hata aliemtolea nape bastola alishindwa kukamatwa???

Nchi imeyumba vyombo vya dora vinatetea tabaka tawala.
Afadhali katika tukio la MO wananchi wanaruhusiwa kukusanyika na kumwombea apatikane akiwa hai! Katika tukio la Lissu serikali ilizuia maombi ya vikundi na t-shirt za pray for Lissu. Tunafahamu sala haiwezi kumrudisha mtu au kumzuia asfanyiwe unyama, lakini ni njia ambayo binadamu tumebakiziwa kuelezea hisia zetu juu ya tukio husika na kuonesha mshikamano wetu na mhanga husika! Nalo serikali ya wanyonge haikulipenda hilo! b.. sh..!!!
 
Kweli siku yako ikifika imefika tu,wengi watakwambia kuwa mo hana mabody guard but kiukweli mo anao mabodygurd tena kutoka israel,ambao kipindi cha kampeni hasa mkoa wa singida mwaka 2015,alikuwa akiambatana nao,sema ndo hvyo one mistake 100 goals
 
Hilo jambo walikusanyana wahindi wote wakashiriki kufanya hilo tukio? Jamii gani duniani watu wote wakawa wema?

Khaaa, yaani we unajustify binadamu kutekwa ?

Nina mashaka umetumwa
Si ndio hapo mbona tunawatu wakatili sana hapa hapa nchini ? Watu wanawaua wenzao wanawakata masikio na kuwamwagia maji ya moto watoto wa wenzao ?
 
Jamaa amehalalisha ushenzi kama huo kisa MO ni mhindi eti. Haya sasa washenzi na watu wenye roho-jiwe kama hizo wapo kwenye jamii yetu wakiwafanyia hayo weusi wenzetu, Anatoa conclusion gani kwenye matukio kama hayo?
 
Inatoa picha mbaya sana na kudhihirisha jinsi baadhi yetu walivyowanafiki na rohombaya , jamii inayochukia watu wenye mafanikio halali sikuzote haitainuka na sikuzote jamii yetu ya kiTanzania kwa kiasi kikubwa ndio imekuwa hivi , tuna safari ndefu sana
 
Ndiyo yale kwa tukio moja la wapuuzi wachache ikahalalishwa kuvamiwa nchi nzima kwa justification za kijeuri kama hizo
 
Ivi Hapa nimekaa nawaza kwa sauti..ina maana Mtu mkubwa kama Mo,security yake imekaaje?...

1. ningetegemea so long as Ile Range pale ingekua ina uwezo wa ku record movements nzima za mizunguko yake,au basi angekua na gari ambalo lina system za namna iyo nimewai ona system Kama izo kwenye BENZ na BMW..

2. then pili angekua ana tembea na vifaa vidogo GPS devices) vinavyo fichwa kwenye nguo, especially vifungo. miwani yake ile au hata kwenye nywele atlist tracking yake ingeweza kua rahisi uko aliko...hapo hata ingerahisisha kupata where to start ila mmh...wamemchukua kizembe sana
 
Kuwa na walinzi siyo shida wanatakiwa wawe na silaha ambazo automatically utazipata serikalini.
Serikali inamtafuta MO but pia imekuwa suspected sasa hii ni zaidi ya hatari. Hatuaminiani.
 
Aisee mtuhumiwa siku zote huwa ana lay low inanipa mashaka sana, kuna watu bado wpo kimya kwa mwekezaji mkubwa namna hii
 
Back
Top Bottom