DAR mkoa bora zaidi wakuishi Tanzania

Kwasababu umeshalifahu hilo basi wewe huwezi kuibiwa.
Nasikia kuna matapeli wa kiwango cha kimataifa wazawa wenyewe wa hapohapo wanapigwa sembuse mimi ambaye natia maguu the first day

Kidubuli
 
Unadhani huko ndio hakuna matapeli.
Sikatai hata huku wapo lakini hawa wa huku hata anavokuja unamchora tu tofauti na huko watu wamejaa mpaka pa kukanyaga hakuna halafu nasikia mkikanyagwa mnakua wakali kweli mnataka mlipwe hela ya maji ya kuogea ndoo 2[emoji23][emoji23]

Kumbe wewe unasikia ila bado hujaona basi uje uone usisikileze umbeya wa washamba
Kungekuwa hivyo unadhani panakalika halafu inaonekana we ni mjuvi wa haya mambo.
 
Dar inategemea misosi kutoka mikoani
Vipi tukigoma kuleta chakula huko mtafia wote hapo dar
hakuna mkoa ambao unapata kila kitu(umejitosheleza), ila kuna mkoa ambao una kila kitu yaani DAR ES SALAAM

ukisoma vizuri utanielewa

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…