DAR mkoa bora zaidi wakuishi Tanzania

Nakubaliana na wewe kwa kuwa maisha ni rahisi mno
Hata kama huna hela utakula
 
Brain yako tu iko limited! Hayo matatizo ya mikoa mingine unayoeleza ni fursa kwa big brain, cheap ideas can't make you to be rich..!
 
nshafika apa dar alafu ata sijui napataje hizo hela ebu wenyeji nielekezeni jamani
 
Sawa, lakini kuna ulinganifu gani kati ya dar na huko kwingine?.
 
Heri umeomba msaada, wengine wanakula jeuri yao.
 
Sawa, lakini kuna ulinganifu gani kati ya dar na huko kwingine?.
Normally cheap is dearly! Dsm urahis wa maisha uko wapi pale ambapo graduate anakabhana koo na standard 7 kugombea kuuza genge!
 
Huko mkoani kuna magenge mangapi ya aina hiyo unayoisema.?
 
Well said!! Mtu atasema DODOMA. kule bana kuna mvua ya vumbi, huwezi amini pepo likivuma inabidi ufumbe macho, ndo maana waliopelekwa Dom Weekend utawaona Dar.
 
Hahaha, kwali kabisa mkuu, huko hapakariki kabisa.
Kuna mikoa mingine inasikitisha sana, mfano ukienda mkoa kama wa kagera walaya za biharamulo, ngala kwa kweli hali ni mbaya sana. Huta tamani kuishi huko kabisa.
 
Cash flow ni shida kuishi hiyo sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…