DAR mkoa bora zaidi wakuishi Tanzania

DAR mkoa bora zaidi wakuishi Tanzania

Cha kushangaza maneno hayo huwezi kuyasikia kwa tajiri kama Mengi, Bakhresa, Dewiji au Bill Gate.

Ni masikini tu ndio huwa na Mawazo kama ya mleta mada.....

Sent From My Nokia Ya Tochi
Sawa mkuu tajiri nimekuelewa.
 
nimeishi dsm miaka 15 baada ya kwenda kushi mwanza na mikoa mingine, nimejilaumu kwanini nilipoteza muda.
Yepi uliyagundua mkuu hadi ukafikia maamuzi hayo na kwanini hadi sasa unaujutia muda wako ulio poteza ukiwa dar hebu tupe uzoefu tujifunze kitu.
 
Yepi uliyagundua mkuu hadi ukafikia maamuzi hayo na kwanini hadi sasa unaujutia muda wako ulio poteza ukiwa dar hebu tupe uzoefu tujifunze kitu.
dsm kuna umasikini na ufinyu wa fikra kimaendeleo kuliko mikoa yote.
 
Kwa mtu ambaye anategemea ajira pekee yani akiamka asubuhi anataka awahi kufika kazini na akitoka jioni anataka awahi kufika nyumbani kwake akaangalie TV atakuambia DSM ni mkoa mbaya sana na hapapendi. Ila kwa mtafutaji anayeelewa faida ya idadi ya walaji waliopo dsm atakuambia DSM ni mji bora kwake kibiashara na kwa fursa
 
Ni sawa na Bahkresa umwambie dsm pagumu sana hivyo ahamishie biashara zake Mwanza nadhani atakupiga ya tumboni 😀😀
 
usifikiri tukiandika hivi sisi sio wafanya biashara, tumekuzidi umri mbali sana na uzoefu wa hizo biashara tumekuzidi. hata biashara zinalipa zaidi arusha, mwanza na maeneo mengine, na inategemeana ni aina ipi ya biashara: hotel, lodges/campings, utalii, transportation, au unataka population kubwa ya watu wa dsm uweke kiduka cha mangi kuuzia watu mafuta ya taa na viberiti?

huku mkoani hiyo noah ambayo ukitoka nayo kimara unapaki posta kwendea kazini, ukija nayo huku mkoani inakuingizia hela nyingi sana kwa siku, economy ya mafuta magari ipo safi unawez akusave hela nyingi mkoani kuliko dsm, pia mkoani ukiwa na upeo wa kuchangamka unapiga hela fasta kwasababu wajinga ni wengi, ila dsm kile mtu anajifanya mjanja na mfanyabiashara, mnagawana ichoicho. inategemeana aina ya biashara. huku pia kilimo kinatoa watu sana.
 
Ni sawa na Bahkresa umwambie dsm pagumu sana hivyo ahamishie biashara zake Mwanza nadhani atakupiga ya tumboni 😀😀
kwa biashara za icecream ni dsm tu, ila kama ataamua biashara zingine, mwanza is far better of than dsm kwasababu pale ataweza pia kuvusha kwenda uganda, rwanda, burundi, congo na kenya kwa urahisi zaidi kuliko dsm ambako ni mbali cost inakuwa kubwa kuexport. hiyo ni hesabu ya kawaida tu. sema tu hajaamua. hata hivyo si ameweka kiwanda pale sinde cha vinywaji (kona ya kahama), unafikiri analenga wapi soko lake?
 
Kwa mtu ambaye anategemea ajira pekee yani akiamka asubuhi anataka awahi kufika kazini na akitoka jioni anataka awahi kufika nyumbani kwake akaangalie TV atakuambia DSM ni mkoa mbaya sana na hapapendi. Ila kwa mtafutaji anayeelewa faida ya idadi ya walaji waliopo dsm atakuambia DSM ni mji bora kwake kibiashara na kwa fursa
Swadakta umeongea vyema sana mkuu.
 
Kuna nyimbo hizi "jamanii morogoro morogoro aaaah Maji yatiririka milimani oooh" na ule wa "jamanii dodomaa dodoma ya watanzaniaa" asee nazipenda sana,.hivi Dar hatuna wimbo wetu jomonii!?????na sisi tuwakaribishe wageni.
 
Kioja kama kipi mkuu hebu sema tukutoe hofu
Vipo vingi sana [emoji116]

*Matapeli wengi sana wanaouza simu ndani unakutana na kipande cha sabuni
Inshort watu wa huku mikoani tunatamani kuja kufanya biashara huko lakini tunaogopa kutapeliwa na kugeuka ombaomba

*Kuna wanaume huko wamejigeuza wanawake

*Nasikia majini hata mchana yanatembea na yanaweza kukupoteza

*Machangudoa wamejaa huko n.k

Kidubuli
 
Kuna nyimbo hizi "jamanii morogoro morogoro aaaah Maji yatiririka milimani oooh" na ule wa "jamanii dodomaa dodoma ya watanzaniaa" asee nazipenda sana,.hivi Dar hatuna wimbo wetu jomonii!?????na sisi tuwakaribishe wageni.
Dar sio lazima uitangaze kwa nyimbo, yenyewe tu inajitangaza.
 
Ndio ilivyo mkuu, wengi wanashindwa kuliona hilo ila ukweli ni kwamba katika nchi yetu hii dar ndo mkoa pekee wenye nguvu kubwa ya kibiashara.kwa wale wajanja wa kibiashara wanalielewa hili.

Wasome kle kitabu cha Robert T. Kyosaki.
Financial IQ wataelewa haya na art of business school.
Dar Ndio ndoto ya kila mfanyabiashara mwenye ndoto za kufika mbali....

Kwenye jamii yetu mojawapo ya mtu kufanikiwa ni kuhamia Dar baada ya kuhangaika huku mikoani.
 
Vipo vingi sana [emoji116]

*Matapeli wengi sana wanaouza simu ndani unakutana na kipande cha sabuni
Inshort watu wa huku mikoani tunatamani kuja kufanya biashara huko lakini tunaogopa kutapeliwa na kugeuka ombaomba

*Kuna wanaume huko wamejigeuza wanawake

*Nasikia majini hata mchana yanatembea na yanaweza kukupoteza

*Machangudoa wamejaa huko n.k

Kidubuli
Woga wako ndio umasikini wako.
Unaogopa kuja dar kisa unaogopa kutapeliwa.
Je watu waogope kuwa wanajeshi kisa kuna mabomu.
 
Back
Top Bottom