Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yepi uliyagundua mkuu hadi ukafikia maamuzi hayo na kwanini hadi sasa unaujutia muda wako ulio poteza ukiwa dar hebu tupe uzoefu tujifunze kitu.nimeishi dsm miaka 15 baada ya kwenda kushi mwanza na mikoa mingine, nimejilaumu kwanini nilipoteza muda.
dsm kuna umasikini na ufinyu wa fikra kimaendeleo kuliko mikoa yote.Yepi uliyagundua mkuu hadi ukafikia maamuzi hayo na kwanini hadi sasa unaujutia muda wako ulio poteza ukiwa dar hebu tupe uzoefu tujifunze kitu.
usifikiri tukiandika hivi sisi sio wafanya biashara, tumekuzidi umri mbali sana na uzoefu wa hizo biashara tumekuzidi. hata biashara zinalipa zaidi arusha, mwanza na maeneo mengine, na inategemeana ni aina ipi ya biashara: hotel, lodges/campings, utalii, transportation, au unataka population kubwa ya watu wa dsm uweke kiduka cha mangi kuuzia watu mafuta ya taa na viberiti?Kwa mtu ambaye anategemea ajira pekee yani akiamka asubuhi anataka awahi kufika kazini na akitoka jioni anataka awahi kufika nyumbani kwake akaangalie TV atakuambia DSM ni mkoa mbaya sana na hapapendi. Ila kwa mtafutaji anayeelewa faida ya idadi ya walaji waliopo dsm atakuambia DSM ni mji bora kwake kibiashara na kwa fursa
kwa biashara za icecream ni dsm tu, ila kama ataamua biashara zingine, mwanza is far better of than dsm kwasababu pale ataweza pia kuvusha kwenda uganda, rwanda, burundi, congo na kenya kwa urahisi zaidi kuliko dsm ambako ni mbali cost inakuwa kubwa kuexport. hiyo ni hesabu ya kawaida tu. sema tu hajaamua. hata hivyo si ameweka kiwanda pale sinde cha vinywaji (kona ya kahama), unafikiri analenga wapi soko lake?Ni sawa na Bahkresa umwambie dsm pagumu sana hivyo ahamishie biashara zake Mwanza nadhani atakupiga ya tumboni 😀😀
Swadakta umeongea vyema sana mkuu.Kwa mtu ambaye anategemea ajira pekee yani akiamka asubuhi anataka awahi kufika kazini na akitoka jioni anataka awahi kufika nyumbani kwake akaangalie TV atakuambia DSM ni mkoa mbaya sana na hapapendi. Ila kwa mtafutaji anayeelewa faida ya idadi ya walaji waliopo dsm atakuambia DSM ni mji bora kwake kibiashara na kwa fursa
Vipo vingi sana [emoji116]Kioja kama kipi mkuu hebu sema tukutoe hofu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani mnamsakama huyo jamaaNilijua tu kama utawahi kufika hapa.
Duh..hayo mahindi yamenikumbusha mbali..!!Yummy,ndo maana napenda wanaume wa dar tunanunua hii na kula woteView attachment 552555
Wa mikoani hachelewi kukulisha hiiView attachment 552557
Dar sio lazima uitangaze kwa nyimbo, yenyewe tu inajitangaza.Kuna nyimbo hizi "jamanii morogoro morogoro aaaah Maji yatiririka milimani oooh" na ule wa "jamanii dodomaa dodoma ya watanzaniaa" asee nazipenda sana,.hivi Dar hatuna wimbo wetu jomonii!?????na sisi tuwakaribishe wageni.
Dar Ndio ndoto ya kila mfanyabiashara mwenye ndoto za kufika mbali....Ndio ilivyo mkuu, wengi wanashindwa kuliona hilo ila ukweli ni kwamba katika nchi yetu hii dar ndo mkoa pekee wenye nguvu kubwa ya kibiashara.kwa wale wajanja wa kibiashara wanalielewa hili.
Wasome kle kitabu cha Robert T. Kyosaki.
Financial IQ wataelewa haya na art of business school.
Woga wako ndio umasikini wako.Vipo vingi sana [emoji116]
*Matapeli wengi sana wanaouza simu ndani unakutana na kipande cha sabuni
Inshort watu wa huku mikoani tunatamani kuja kufanya biashara huko lakini tunaogopa kutapeliwa na kugeuka ombaomba
*Kuna wanaume huko wamejigeuza wanawake
*Nasikia majini hata mchana yanatembea na yanaweza kukupoteza
*Machangudoa wamejaa huko n.k
Kidubuli