#COVID19 Dar: Mkuu wa Mkoa awataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa CORONA

#COVID19 Dar: Mkuu wa Mkoa awataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa CORONA

Ningeshangaa msaliti kulipwa hela. Kwa kazi ipi aliyofanya? Kwa kuzunguka nchi za ulaya akiitukana Tanzania na watanzania?
Tutashitakiwa MIGA?

UJINGA MTUPU
Uliza wazazi wako inawezekana uliwahi kulogwa ukiwa mdogo wewe hujui.
 
Makanisani sijui kama watasikia hayo. Kuna makanisa hayana maji tiririka, ibada hadi masaa 2, kupeana amnai tena padre anasema peananeni mikono ya amani.
La ajabu watu wanapeana mikono ya amani halafu wanaenda kukomunika kwa mikono!
Unataka laana wewe si bure!! Makanisa yaliitikia wito wa kumwomba Mungu kwa kufunga na Mungu alitusikia akatuponya! Salama unayoiona ni matokeo ya maombi ya watu wakiongozwa na watumishi wa Mungu!! Ndiyo maana corona unaisikia tu kwenye midomo ya watu lakini kiukweli tumshukuru Mungu haipo!! Kuna maadui wengi sana wa nchi yetu ndani na nje ya nchi! Laiti corona ingekuwepo wangeshapiga makelele siku nyingi!! Hawana shukrani kwa Mungu!! Nasema wazi utukufu wote apewe Yesu kwa kutuponya kama Taifa. Isije ikatokea huko mbele ya safari tukaambiwa na mabeberu kuwa mkopo wa kupambana na corona wanaotaka kutupa ndio uliotukoa na corona! Kama pesa, chanjo na barakoa hazikuwaokoa wao zitatuokoaje sisi?
Kanuni ni hiyo hiyo: Tumtangulize Mungu kwanza halafu tahadhari zifuate nyuma! Hatupingi tahadhari hata kidogo lakini tumtangulize Mungu kwanza!
 
Mpaka waanze kufa ikulu tena ndio ntaamini corona ipo.
 
Jinsi wanasiasa wanawapiga kamba wananchi inachekesha🤣
20210622_113524.jpg
 
Mimi na akili zangu bado sana kukubali ujinga wenu.

Kama mmeshakula pesa za hao mabeberu basi vaeni nyie na familia zenu.
Hapo lazma tuchapane viboko
 
Tunakwenda vizuri:

"Aidha RC Makalla amewaelekeza Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Taasisi za Umma na za kiraia na Vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha wanasimamia ipasavyo maelekezo hayo."

Matumizi ya ka minimum force hakajawahi kuwafanya waungwana wakasikitika.

Kama kawaida waumini wazalendo wa awamu ile habari ndiyo hiyo.
Vp contena lako la Barakoa limeshaingia kutoka China!? Mi niko huku Katavi,lete Mzigo tuwaauzie Wakulima wa huku,muda wa kupiga pesa ya Corona sasa!!
 
Vp contena lako la Barakoa limeshaingia kutoka China!? Mi niko huku Katavi,lete Mzigo tuwaauzie Wakulima wa huku,muda wa kupiga pesa ya Corona sasa!!

Yaoneeni huruma maisha ya watu hata kama biashara zenu za majeneza, sanda, kusafirisha maiti nk ndipo kula yenu mnakopata.

Wapumzike kwa amani waja wa mola hawa ambao hawakuchoka kuonya, kuasa na kufundisha kwa dhati kabisa hadi dakika za mwisho:

Kiongozi mzuri ni Yule anayependa na kulinda wananchi wake. Asante Sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na Mkuu wetu wa mkoa. Tulipoteza viongozi wetu, ndugu, majiraji na marafiki Kwa uzembe. Nikimkumbuka wale shangazi zangu wawili mmoja 2020 na mwingine 2021 sina hamu kabisa. Yaani nikisikia mtu anakejeli Corona ninasikia nachefuka. Siku ikikufika ndiyo utashika adabu. Endeleeni kubeza.
Unapimaje kuwa ni uzembe au ndio matokeo ya janga lililopo duniani ambalo lilimgusa hadi waziri mkuu wa uingereza na kuteketeza mamilioni ya watu duniani?
 
Kiongozi mzuri ni Yule anayependa na kulinda wananchi wake. Asante Sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na Mkuu wetu wa mkoa. Tulipoteza viongozi wetu, ndugu, majiraji na marafiki Kwa uzembe. Nikimkumbuka wale shangazi zangu wawili mmoja 2020 na mwingine 2021 sina hamu kabisa. Yaani nikisikia mtu anakejeli Corona ninasikia nachefuka. Siku ikikufika ndiyo utashika adabu. Endeleeni kubeza.
Mbona nchi wanazovaa barakoa ndiyo watu wake wanakufa kwa maelfu? Nyungu ndiyo suruhusho wa hili janga. Isingekuwa nyungu mimi tayari ningekuimbiwa nyimbo za kuniaga.
 
Watanzania bwana, mnaambiwa mchukue tahadhari ninyi mnasema mnatiwa hofu.
Tahadhari ilitakiwa zichukuliwe kipindi chote kama ambavyo wengine wanafanya ila kipindi chote hicho walikuwa wanasema hakuna corona na kweli hatukuona wakivaa barakoa hata mara moja halafu leo ghafla ndio wanaanza kuwaambia watu wachukue tahadhari?
 
Ziwekwe taratibu zinazolazimisha watu kuvaa barakoa na kunawa mikono unapoingia kwenye chombo cha usafiri, masokoni, hospitalini, maofisini, makanisani na misikitini, asiyetaka azuiwe, abakie nyumbani kwake.

Watu hawajui hatari ya hii corona ya sasa lakini wanakuwa wabishi.
 
Ningeshangaa msaliti kulipwa hela. Kwa kazi ipi aliyofanya? Kwa kuzunguka nchi za ulaya akiitukana Tanzania na watanzania?
Tutashitakiwa MIGA?

UJINGA MTUPU
wifi yangu una gubu!!
 
Kila siku kututia hofu tu, ndiyo kazi tuliyowatuma? Kama wameshindwa kutuongoza waache kazi.
Kwani umelazimishwa kuchukua tahadhari? We komaa kama alivyokomaa mumeo hadi Corona ikapita naye hadi umebaki kuwa mjane.
 
Vp contena lako la Barakoa limeshaingia kutoka China!? Mi niko huku Katavi,lete Mzigo tuwaauzie Wakulima wa huku,muda wa kupiga pesa ya Corona sasa!!

Nisiache kukumbusha ile biashara yako kwenye wafu inazidi kukosa:

IMG_20210625_121904_739.jpg

Kuwekeza kwenye watu kupukutika kunatia kichefu chefu.

Habari ndiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom