Uliza wazazi wako inawezekana uliwahi kulogwa ukiwa mdogo wewe hujui.Ningeshangaa msaliti kulipwa hela. Kwa kazi ipi aliyofanya? Kwa kuzunguka nchi za ulaya akiitukana Tanzania na watanzania?
Tutashitakiwa MIGA?
UJINGA MTUPU
Mabarakoa yameshamiri, wamesahau ule usemi aogopacho mtu kitampata ni suala la wakati tu.Kila siku kututia hofu tu, ndiyo kazi tuliyowatuma? Kama wameshindwa kutuongoza waache kazi.
Unataka laana wewe si bure!! Makanisa yaliitikia wito wa kumwomba Mungu kwa kufunga na Mungu alitusikia akatuponya! Salama unayoiona ni matokeo ya maombi ya watu wakiongozwa na watumishi wa Mungu!! Ndiyo maana corona unaisikia tu kwenye midomo ya watu lakini kiukweli tumshukuru Mungu haipo!! Kuna maadui wengi sana wa nchi yetu ndani na nje ya nchi! Laiti corona ingekuwepo wangeshapiga makelele siku nyingi!! Hawana shukrani kwa Mungu!! Nasema wazi utukufu wote apewe Yesu kwa kutuponya kama Taifa. Isije ikatokea huko mbele ya safari tukaambiwa na mabeberu kuwa mkopo wa kupambana na corona wanaotaka kutupa ndio uliotukoa na corona! Kama pesa, chanjo na barakoa hazikuwaokoa wao zitatuokoaje sisi?Makanisani sijui kama watasikia hayo. Kuna makanisa hayana maji tiririka, ibada hadi masaa 2, kupeana amnai tena padre anasema peananeni mikono ya amani.
La ajabu watu wanapeana mikono ya amani halafu wanaenda kukomunika kwa mikono!
Napita tu. Pole lakiniKila siku kututia hofu tu, ndiyo kazi tuliyowatuma? Kama wameshindwa kutuongoza waache kazi.
Vp contena lako la Barakoa limeshaingia kutoka China!? Mi niko huku Katavi,lete Mzigo tuwaauzie Wakulima wa huku,muda wa kupiga pesa ya Corona sasa!!Tunakwenda vizuri:
"Aidha RC Makalla amewaelekeza Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Taasisi za Umma na za kiraia na Vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha wanasimamia ipasavyo maelekezo hayo."
Matumizi ya ka minimum force hakajawahi kuwafanya waungwana wakasikitika.
Kama kawaida waumini wazalendo wa awamu ile habari ndiyo hiyo.
Vp contena lako la Barakoa limeshaingia kutoka China!? Mi niko huku Katavi,lete Mzigo tuwaauzie Wakulima wa huku,muda wa kupiga pesa ya Corona sasa!!
Watanzania bwana, mnaambiwa mchukue tahadhari ninyi mnasema mnatiwa hofu.Kila siku kututia hofu tu, ndiyo kazi tuliyowatuma? Kama wameshindwa kutuongoza waache kazi.
Unapimaje kuwa ni uzembe au ndio matokeo ya janga lililopo duniani ambalo lilimgusa hadi waziri mkuu wa uingereza na kuteketeza mamilioni ya watu duniani?Kiongozi mzuri ni Yule anayependa na kulinda wananchi wake. Asante Sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na Mkuu wetu wa mkoa. Tulipoteza viongozi wetu, ndugu, majiraji na marafiki Kwa uzembe. Nikimkumbuka wale shangazi zangu wawili mmoja 2020 na mwingine 2021 sina hamu kabisa. Yaani nikisikia mtu anakejeli Corona ninasikia nachefuka. Siku ikikufika ndiyo utashika adabu. Endeleeni kubeza.
Mbona nchi wanazovaa barakoa ndiyo watu wake wanakufa kwa maelfu? Nyungu ndiyo suruhusho wa hili janga. Isingekuwa nyungu mimi tayari ningekuimbiwa nyimbo za kuniaga.Kiongozi mzuri ni Yule anayependa na kulinda wananchi wake. Asante Sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na Mkuu wetu wa mkoa. Tulipoteza viongozi wetu, ndugu, majiraji na marafiki Kwa uzembe. Nikimkumbuka wale shangazi zangu wawili mmoja 2020 na mwingine 2021 sina hamu kabisa. Yaani nikisikia mtu anakejeli Corona ninasikia nachefuka. Siku ikikufika ndiyo utashika adabu. Endeleeni kubeza.
Tahadhari ilitakiwa zichukuliwe kipindi chote kama ambavyo wengine wanafanya ila kipindi chote hicho walikuwa wanasema hakuna corona na kweli hatukuona wakivaa barakoa hata mara moja halafu leo ghafla ndio wanaanza kuwaambia watu wachukue tahadhari?Watanzania bwana, mnaambiwa mchukue tahadhari ninyi mnasema mnatiwa hofu.
wifi yangu una gubu!!Ningeshangaa msaliti kulipwa hela. Kwa kazi ipi aliyofanya? Kwa kuzunguka nchi za ulaya akiitukana Tanzania na watanzania?
Tutashitakiwa MIGA?
UJINGA MTUPU
Kwani umelazimishwa kuchukua tahadhari? We komaa kama alivyokomaa mumeo hadi Corona ikapita naye hadi umebaki kuwa mjane.Kila siku kututia hofu tu, ndiyo kazi tuliyowatuma? Kama wameshindwa kutuongoza waache kazi.
Vp contena lako la Barakoa limeshaingia kutoka China!? Mi niko huku Katavi,lete Mzigo tuwaauzie Wakulima wa huku,muda wa kupiga pesa ya Corona sasa!!