Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 259
Kwanza wafanyabiashara wanapanga bidhaa zao mpaka Kituo cha Daladala hali inayowafanya wapita njia na abiria kupata wakati mgumu.
Pia kipindi kama hiki cha mvua, hali ya usafi sio rafiki. Inaleta picha mbaya na hatirishi kwa afya za binadamu.
Matunda yanazagaa yakizungukwa na matope, ukiwa na roho nyepesi huwezi kununua bidhaa, ila wenye roho ngumu, hawajali.
Sijui kwa wengine ambao wanatumia soko hilo kama wanaridhika na hali ilivyo.