Dar: Mto wafurika maji, mitihani darasa la nne yavushwa mto na dereva bodaboda

Dar: Mto wafurika maji, mitihani darasa la nne yavushwa mto na dereva bodaboda

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Bodaboda akivusha mitihani eneo la Mto Mzinga maarufu Kwa Kichwa, Kata ya Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam baada ya kufurika maji kutokana na mvua zilizonyesha kuanzia jana.

Mitihani hiyo ni ya wanafunzi wa darasa la nne ambao leo Jumanne Aprili 29, 2025 wanafanya mtihani wa majaribio wa mkoa.

 
Back
Top Bottom