Ukisha kuhukimiwa kifungo kazi hunaKwa Hali hii akirejea kazini ni tatizo... Ana takiwa afukuzwe kazi baada ya kukutwa na hatia, isiwe kulipa na kurudishwa kazini
mbona wamemuonea. Makosa ya kifisadi adhabu yake Ni faini isiyozidi elfu kumi au kifungo Cha nje wiki moja.Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kughushi Nyaraka, mtumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliyetambulishwa kwa majina ya Melchiory Rutayuga Mukandala.
Keshi hiyo iliyowasiliswa na Jamhuri kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKURU) imetaja makosa ya mtuhumiwa kuwa ni kinyume na Kanuni ya Adhabu na Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329.
Mahakama imemhukumu Mtumishi huyo adhabu ya kulipa faini ya Tsh. Milioni 1 kwa kila kosa au kutumikia kifungo cha miaka miwili gerezani kwa kila kosa na adhabu zote zinaenda kwa pamoja.
...tena kwa makosa madogomadogo kama vile kuiba kuku.wezi wa mali za uma wanaambiwa walipe fain ila wanyonge wanapigwa miaka ya kutosha bila fain
Habari ipo nusu nusu.Kesi yenyewe mbona haieleweki eleweki
Ova
Wabunge Ndiyo TatizoKwa makosa hayo mawili fine ni million mbili! πππππ
Msije mkatoa lawama kwa hakimu maana yeye anatimiza matakwa ya kisheria β¦ Hivyo wakupewa lawama ni watunga sheria ambao ni wabunge