Dar, mvua neema au kero?

Dar, mvua neema au kero?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606">

</td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
<!--ThumbBegin--><!--ThumbEnd-->
Jiji la Dar es Salaam leo lilipata neema ya mvua lakini neema hiyo ilionekana kuwa kama kero kwa wakazi wake kutokana na miundombinu mibovu kama inavyoonekana pichani ambapo barabara zilipitika kwa shida kama inavyoonekana katika maeneo ya Kituo cha Mabasi ya Mwenge leo mchana.

WAKAZI WA JIJI WAKIWA KATIKA MISHEMISHE
<!--ThumbBegin--><!--ThumbEnd-->
Wakazi hawa wa jijini Dar walinaswa na kamera yetu jioni hii maeneo ya Posta Mpya wakiwa katika pilikapilika za kuwahi safari zao sehemu mbalimbali baada ya kimvua kilichodumu kwa masaa kadhaa.​

</td></tr></tbody></table>
 
hata sie tunaokaa mabondeni tunaitaka pia iendelee tuheshimiane labda serekari watatufikiria ila nakerekwa sana na wenye majumba then ikinyesha munatapisha vyoo vyenu acheni hilo nitapeleka kinyesi cha mtu kwa mganga halafu iwe tabu
Conquest
 
Toka lini mvua ikawa kero?HII NI NEEMA TU.
 
Kerooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom