Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606">
</td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
</td></tr></tbody></table>
</td> <td width="606">
</td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
<!--ThumbBegin-->
<!--ThumbEnd-->
Jiji la Dar es Salaam leo lilipata neema ya mvua lakini neema hiyo ilionekana kuwa kama kero kwa wakazi wake kutokana na miundombinu mibovu kama inavyoonekana pichani ambapo barabara zilipitika kwa shida kama inavyoonekana katika maeneo ya Kituo cha Mabasi ya Mwenge leo mchana.
WAKAZI WA JIJI WAKIWA KATIKA MISHEMISHE
<!--ThumbBegin-->
<!--ThumbEnd-->
Wakazi hawa wa jijini Dar walinaswa na kamera yetu jioni hii maeneo ya Posta Mpya wakiwa katika pilikapilika za kuwahi safari zao sehemu mbalimbali baada ya kimvua kilichodumu kwa masaa kadhaa.