Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mwalimu wa Shule ya Global International, Daniel Chacha (26) amekutwa na hatia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka 6 aliyekuwa mwanafunzi wa shule hiyo iliyopo Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Mara baada ya kusomewa hukumu hiyo, Chacha alitakiwa kujitetea lakini alidondoka na kupoteza fahamu Mahakamani, akabebwa na askari magereza waliompatia huduma ya kwanza kumzindua.
Pia soma:
Video: Mwalimu anayetuhumiwa Kulawiti, Kubaka Watoto wa Shule ya Msingi asomewa MASHITAKA 6 MAHAKAMANI
Kinondoni: Tuhuma za Mwalimu kulawiti na kubaka watoto wa Shule ya Msingi, Waziri atoa siku 7 za uchunguzi