Dar: Mwalimu wa aliyetuhumiwa kulawiti mtoto wa miaka 6 azimia baada ya kuhukumiwa jela maisha

Dar: Mwalimu wa aliyetuhumiwa kulawiti mtoto wa miaka 6 azimia baada ya kuhukumiwa jela maisha

Wewe na Rais wa nchi ni Nani mwenye uwezo wa kupata taarifa sahihi na kwawakati?
Kuwa rais wa nchi hakumaanishi ni lazima upate taarifa sahihi. Kwa mfano krona inaweza kuwa hatari kwako kama rais lakini ukalishwa taarifa potofu kuwa siyo hatari, na ikakupta ukafa.
 
Kuna watu wanaona haya matukio kama ya kawaida ila yanaweza kuwa ya kupoteza watu pia..inaweza kuwa hata mtuhumiwa hajui kilichotokea siku hiyo..
Hii dunia ina mambo mengi sana
 
Mwalimu wa Shule ya Global International, Daniel Chacha (26) amekutwa na hatia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka 6 aliyekuwa mwanafunzi wa shule hiyo iliyopo Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.

Mara baada ya kusomewa hukumu hiyo, Chacha alitakiwa kujitetea lakini alidondoka na kupoteza fahamu Mahakamani, akabebwa na askari magereza waliompatia huduma ya kwanza kumzindua.


Pia soma:
Video: Mwalimu anayetuhumiwa Kulawiti, Kubaka Watoto wa Shule ya Msingi asomewa MASHITAKA 6 MAHAKAMANI

Kinondoni: Tuhuma za Mwalimu kulawiti na kubaka watoto wa Shule ya Msingi, Waziri atoa siku 7 za uchunguzi
Huyo mpumbavu alitakiwa kuzinduliwa na kipigo kikali
 
Pole yake mwalimu, ni maisha mengine anayo kwenda kuanza, ndoto zake zimekomea hapo, yeye pamoja na wazazi wake ndugu jamaa na hata marafiki wake hawakuwahi kujua kama angekuja kuishia jela kwa staili hiyo.

Hili liwe funzo kwetu kwamba maisha hayana mwelekeo wa moja kwa moja kwamba ni hivi ndivyo inakua au ni vile ndivyo itakua la!

Tutembee vizuri juu ya hii ardhi maana imetushikilia kwa hisani tuu, pindi ikitukataa tutazungumza lugha nyingine kama ndugu yetu mwalimu.

Lakini pia lolote linaweza kutokea ikaja siku akawa huru.

Binafsi namuombea Mungu ampe kuvumilia na kuweza .
 
Unadhani Mb** inasumbua basi ? Ni upumbavu tu wa mtu mwenyewe binafsi, kichwa cha chini kikisimama kinatuma info kabisa kwenye ubongo kinataka papuchi yani unaelewa kabisa ili genye ziishe inahitajika papuchino

Huyo jamaa ana matatizo ya akili,ni Mwanaume kichaa tu ndio anawaza matako/papuchi za watoto, mtu mwenye akili timamu unajua kabisa unachotaka ni mtu mzima mwenzio na wa shape gani
Duuh! Basi kama ni hivyo Me wenye matatizo ya akili ni wengi kuliko tunavyofikiria sababu haya matukio ni mengi mengi mnoo.
 
Mwalimu wa Shule ya Global International, Daniel Chacha (26) amekutwa na hatia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka 6 aliyekuwa mwanafunzi wa shule hiyo iliyopo Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.

Mara baada ya kusomewa hukumu hiyo, Chacha alitakiwa kujitetea lakini alidondoka na kupoteza fahamu Mahakamani, akabebwa na askari magereza waliompati
Aisee
 
Back
Top Bottom