Dar: Mwalimu wa aliyetuhumiwa kulawiti mtoto wa miaka 6 azimia baada ya kuhukumiwa jela maisha

Kuna haja hizi shule kufugwa kamera madarasan na ofisin
 
Wewe na Rais wa nchi ni Nani mwenye uwezo wa kupata taarifa sahihi na kwawakati?
Kuwa rais wa nchi hakumaanishi ni lazima upate taarifa sahihi. Kwa mfano krona inaweza kuwa hatari kwako kama rais lakini ukalishwa taarifa potofu kuwa siyo hatari, na ikakupta ukafa.
 
Kuna watu wanaona haya matukio kama ya kawaida ila yanaweza kuwa ya kupoteza watu pia..inaweza kuwa hata mtuhumiwa hajui kilichotokea siku hiyo..
Hii dunia ina mambo mengi sana
 
Huyo mpumbavu alitakiwa kuzinduliwa na kipigo kikali
 
Pole yake mwalimu, ni maisha mengine anayo kwenda kuanza, ndoto zake zimekomea hapo, yeye pamoja na wazazi wake ndugu jamaa na hata marafiki wake hawakuwahi kujua kama angekuja kuishia jela kwa staili hiyo.

Hili liwe funzo kwetu kwamba maisha hayana mwelekeo wa moja kwa moja kwamba ni hivi ndivyo inakua au ni vile ndivyo itakua la!

Tutembee vizuri juu ya hii ardhi maana imetushikilia kwa hisani tuu, pindi ikitukataa tutazungumza lugha nyingine kama ndugu yetu mwalimu.

Lakini pia lolote linaweza kutokea ikaja siku akawa huru.

Binafsi namuombea Mungu ampe kuvumilia na kuweza .
 
Duuh! Basi kama ni hivyo Me wenye matatizo ya akili ni wengi kuliko tunavyofikiria sababu haya matukio ni mengi mengi mnoo.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…