DAR: Mwanafunzi UDOM anyongwa

DAR: Mwanafunzi UDOM anyongwa

Huenda wakiwa ghouse, husband to be alipitia simu ya wife to be akakuta vitu na sms zisizofaa. Katika prukushani, husband to be akawa amakamata mtandio wa mpenzi wake kiasi ukatelezea shingoni kuwa km anamkaba. Binti kuona anakabwa ( ingawa ilikuwa tisha toto), akahamaki na kumng'ata kikwelikweli husband. Husband akatapatapa na kukaza kidogo mtandio ili wife asiendelee kumng'ata. Kukawa na kusukumana huku na huku kiasi mtandio ukakaza zaidi...........Pole yao. Mungu aepushie mbali haya!!!
Mkuu sio lazima mtandio, hata ukimkaba mtu shingoni mpaka kufa kisheria wanasema kunyonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nionavyo hayo maneno hayakuandikwa na binti na badala yake yaliandikwa na wauaji wake muda mrefu baada ya kumuua. Nasema hivyo kwa sababu kwa maelezo ya baba mzazi hadi saa nne usiku alimpigia simu mwanae bila simu kupokelewa na baada ya muda fulani mkewe akamtumia sms binti na ndipo akajibiwa hilo jibu kwamba hayupo katika mikono salama. Lakini walipofika polisi wakaambiwa mwili wa binti uliokotwa saa mbili usiku huo.
Ndio nilikua nendelea kushangaa maiti imeokotwa saa mbili Usiku, wakati meseji inaonekana kujibiwa na mtoto saa nne Usiku kwenda mbele

Nikataka kusema habari haijakaa sawa eneo flani, yaani uwe kwenye mikono yawatu waovu nabado wakuache na simu huku ukiweza kutuma mpaka meseji! Huenda uko sahihi kwa uliwazalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wa kizazi hiki wanahitaji sana elimu ya mapenzi..hasa kwenye kipindi hiki cha teknolojia ya simu za mikononi..maana hapo Ndio kwenye tatizo kubwa.
Inasikitisha kwa kweli, binti kama namfahamu hivi
Kuna tukio lingine kigamboni tena huyu ni form 4 kapatwa na umauti shauri ya mapenzi,
Ni kweli vijana wanahitaji elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lusungo, kwani marehemu alikuwa na utoto gani? Alikuwa ameshavuka umri wa miaka 18, alikuwa anajitambua vizuri tu, wala hakuwa na utoto wa kumfanya asiliwe. Ni jukumu la wazazi sasa kuanza kuwapa watoto wao elimu ya hatari juu ya mapenzi, kama muda wao bado haujafika.
 
lusungo, kwani marehemu alikuwa na utoto gani? Alikuwa ameshavuka umri wa miaka 18, alikuwa anajitambua vizuri tu, wala hakuwa na utoto wa kumfanya asiliwe. Ni jukumu la wazazi sasa kuanza kuwapa watoto wao elimu ya hatari juu ya mapenzi, kama muda wao bado haujafika.
Elimu gani labda???? Unadhani wazazi huwa hawakatazi watoto wao wasiingie kwenye mahusiano??? Lakini mzazi huwezi sema utakuwa na binti yako kila mahali huyu aliefanya hivi hujui sababu gani kafanya hivyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: K M
Lakini vipi kama Happy alitangulia kumpigia simu /kumtumia msg mpenziwe kumjulisha kua hayuko mikono salama? Maana mda mwingne wasichana huwaamin wapenz wao na kuwapa taarifa personal kuliko hata wazaz wao. Uchunguzi wa akina watakiwa kufanyika na wala sio kukurupuka.
Na niwajuavyo police na mahakama zetu basi wao moja kwa moja watahukumu kwa ushahd ulioletwa mezan.
 
Back
Top Bottom