hyusuph
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,655
- 690
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio lazima mtandio, hata ukimkaba mtu shingoni mpaka kufa kisheria wanasema kunyongaHuenda wakiwa ghouse, husband to be alipitia simu ya wife to be akakuta vitu na sms zisizofaa. Katika prukushani, husband to be akawa amakamata mtandio wa mpenzi wake kiasi ukatelezea shingoni kuwa km anamkaba. Binti kuona anakabwa ( ingawa ilikuwa tisha toto), akahamaki na kumng'ata kikwelikweli husband. Husband akatapatapa na kukaza kidogo mtandio ili wife asiendelee kumng'ata. Kukawa na kusukumana huku na huku kiasi mtandio ukakaza zaidi...........Pole yao. Mungu aepushie mbali haya!!!
Ndio nilikua nendelea kushangaa maiti imeokotwa saa mbili Usiku, wakati meseji inaonekana kujibiwa na mtoto saa nne Usiku kwenda mbeleIla nionavyo hayo maneno hayakuandikwa na binti na badala yake yaliandikwa na wauaji wake muda mrefu baada ya kumuua. Nasema hivyo kwa sababu kwa maelezo ya baba mzazi hadi saa nne usiku alimpigia simu mwanae bila simu kupokelewa na baada ya muda fulani mkewe akamtumia sms binti na ndipo akajibiwa hilo jibu kwamba hayupo katika mikono salama. Lakini walipofika polisi wakaambiwa mwili wa binti uliokotwa saa mbili usiku huo.
Alafu mbona unatoa habari iliyotokea miaka miwili nyuma hii siyo habari mpya ilitokea mwaka 2016 uko inatuletea leo
Inasikitisha kwa kweli, binti kama namfahamu hiviVijana wa kizazi hiki wanahitaji sana elimu ya mapenzi..hasa kwenye kipindi hiki cha teknolojia ya simu za mikononi..maana hapo Ndio kwenye tatizo kubwa.
Usiwe mwepesi kuhukumu... Unajua nini kilitokea mpaka akanyongwa?????Mshahara wa dhambi ni mauti!
Elimu gani labda???? Unadhani wazazi huwa hawakatazi watoto wao wasiingie kwenye mahusiano??? Lakini mzazi huwezi sema utakuwa na binti yako kila mahali huyu aliefanya hivi hujui sababu gani kafanya hivyoolusungo, kwani marehemu alikuwa na utoto gani? Alikuwa ameshavuka umri wa miaka 18, alikuwa anajitambua vizuri tu, wala hakuwa na utoto wa kumfanya asiliwe. Ni jukumu la wazazi sasa kuanza kuwapa watoto wao elimu ya hatari juu ya mapenzi, kama muda wao bado haujafika.
Wanaume njooni maana mnawasema wanawake walivyo viumbe wa ajabu.
Kwani mvulana ana ke? si akikua atakuwa mwanamme?Huyo siyo mwanaume!! Mvulana
Kwani mvulana ana ke? si akikua atakuwa mwanamme?
Una uhakika?Alafu mbona unatoa habari iliyotokea miaka miwili nyuma hii siyo habari mpya ilitokea mwaka 2016 uko inatuletea leo
Kama upo UDOM thibitisha kama unamfahamu huyu binti picha iliyotolewa na ni wa mwaka wa ngapi?, tupate mwanga wengine