Mefloquine
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 499
- 1,202
Swali ni je? Ulijuaje kuwa Happy ameuwawa na kuamua kuwajulisha wenzio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamkini yanaweza kuwa malipo ya dhambi ya Uzinzi. Ndipo tunasema mwenye ufahamu atape kufahamu ya Shamba Mungu anaposema dhambi ndani kuna mauti na uhalibifu ndo kama hivo. Rest at the place You deserve for your after life homeSometime wasichana ni wajinga sana pengine alilazimisha kurudi likizo nyumbani ili akutane na mpenzi wake, R.I.P binti, huyo mchumba wake kazi anayo.
Eti malipo ya Uzinzi?????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji48][emoji48][emoji48] Utadhani hujawahi gonganaa vilee kumbe ukute hata usodoma umefanya kazi kukaa hapa Jt kuhukumu wenginee...Yamkini yanaweza kuwa malipo ya dhambi ya Uzinzi. Ndipo tunasema mwenye ufahamu atape kufahamu ya Shamba Mungu anaposema dhambi ndani kuna mauti na uhalibifu ndo kama hivo. Rest at the place You deserve for your after life home
Mbona umemwakia hivyo?[emoji16]Eti malipo ya Uzinzi?????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji48][emoji48][emoji48] Utadhani hujawahi gonganaa vilee kumbe ukute hata usodoma umefanya kazi kukaa hapa Jt kuhukumu wenginee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Miwatu mipuuzi sana yani Nimeona comment zinamua attack huyu binti kama vile Wanamjua na wao hawana dhambi...!! Eti uzinzi wake ndo hayo malipo amepata.. mamaeee[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] yenyewe yanalalana huko na kusodomoana hatuyasemii...fwakenii
Daah mkuu punguza hasira basi marehemu hasemwi vibaya.Mungu ampumzishe wapi mtoto mdogo aliyejikita kwenye uzinzi?
Ukweli mtupu...yaaan mtu akishaingia hapa anageuka kuwa mtakatifuMiwatu mipuuzi sana yani Nimeona comment zinamua attack huyu binti kama vile Wanamjua na wao hawana dhambi...!! Eti uzinzi wake ndo hayo malipo amepata.. mamaeee[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] yenyewe yanalalana huko na kusodomoana hatuyasemii...fwakenii
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo, tulioko huku tunajua kinachoendelea...Nchi za wenzetu kila mahali kuna cct camera mauwaji ya ajabu ajabu hakuna
Ni mimi nasoma vibaya au? Mbona mi naona heading iko sawa kabisa?Habari ina ukakasi, kichwa kinasema mwanafunzi wa UDSM, habari inasema UDOM.... haya mambo ya magazeti ya udaku yana ukakasi pia
Uko wapi?
Mapenzi ni evolutionary mechanism ya kuhakikisha propagation ya human species, ndio maana yana nguvu, propagation in nature is of the utmost importance, ukitaka kuamini muite mwanaume punga uone atakavyoumia, maana yake ni kwamba umemuondolea ile sifa ya kuwezesha propagation, ndio maaana huuma sana!Sometime wasichana ni wajinga sana pengine alilazimisha kurudi likizo nyumbani ili akutane na mpenzi wake, R.I.P binti, huyo mchumba wake kazi anayo.
Hapana, kwa hoja yako ni kuwa ilitokea bahati mbaya na hakupanga kumuua, je alipata wapi ujasiri wa kutumia simu yake na hadi kutuma message kwa mama?maana according to familia ni kwamba kwenye saa nne ndio mama alituma msg na ikajibiwa na muda wote simu ilikuwa haipokelewi kwa maana kwamba alikuwa nayo huyo kijana,wakati huo Happy alikuwa ameshauwa mana mwili umeokotwa saa mbili.Huenda wakiwa ghouse, husband to be alipitia simu ya wife to be akakuta vitu na sms zisizofaa. Katika prukushani, husband to be akawa amakamata mtandio wa mpenzi wake kiasi ukatelezea shingoni kuwa km anamkaba. Binti kuona anakabwa ( ingawa ilikuwa tisha toto), akahamaki na kumng'ata kikwelikweli husband. Husband akatapatapa na kukaza kidogo mtandio ili wife asiendelee kumng'ata. Kukawa na kusukumana huku na huku kiasi mtandio ukakaza zaidi...........Pole yao. Mungu aepushie mbali haya!!!
Sometime wasichana ni wajinga sana pengine alilazimisha kurudi likizo nyumbani ili akutane na mpenzi wake, R.I.P binti, huyo mchumba wake kazi anayo.
Bado ninaweza kuwa sahihi. Baada ya mauaji bila kukusudia, muuaji katika kutapatapa au msamaria mwema akachukua simu ya huyo binti na kuandika huo ujumbe.Hapana, kwa hoja yako ni kuwa ilitokea bahati mbaya na hakupanga kumuua, je alipata wapi ujasiri wa kutumia simu yake na hadi kutuma message kwa mama?maana according to familia ni kwamba kwenye saa nne ndio mama alituma msg na ikajibiwa na muda wote simu ilikuwa haipokelewi kwa maana kwamba alikuwa nayo huyo kijana,wakati huo Happy alikuwa ameshauwa mana mwili umeokotwa saa mbili.
Pili mwili umeokotwa na haujakutwa chumbani guest maana yake ulitupwa, moja kwa moja utaona ni mauaji ya makusudi na yaliyopangwa tangu mwanzo its just kwamba yalipangwa kizembe.
Huyu kijana hata akiachiwa na polisi bado mimi sitaelewa na nisikutane naye mtaani, atamrudisha Happy wetu.
ZWAZWAlawama kwa wazazi wa mwanamke, je mama hakujua kwamba mwanaye ni mwanafunzi na anagawa papuchi? je dini inaruhusu kutoa uchi kabka ya ndoa? ka a sivyo wazazi walaumiwe, haya je wazazi wa kiume hawakujua mwanao ana demu na ni kinyume cha maadili? mpaka afikie kipindi cha kuoa? kama ndivyo basi walaumiwe wote kabisa,
mapenzi na shule ni mbingu na jehanamu, bora hata watoto wafundishwe kupiga puli kuliko mapenzi.