DAR: Mwanafunzi UDOM anyongwa

DAR: Mwanafunzi UDOM anyongwa

Swali ni je? Ulijuaje kuwa Happy ameuwawa na kuamua kuwajulisha wenzio?
 
Sometime wasichana ni wajinga sana pengine alilazimisha kurudi likizo nyumbani ili akutane na mpenzi wake, R.I.P binti, huyo mchumba wake kazi anayo.
Yamkini yanaweza kuwa malipo ya dhambi ya Uzinzi. Ndipo tunasema mwenye ufahamu atape kufahamu ya Shamba Mungu anaposema dhambi ndani kuna mauti na uhalibifu ndo kama hivo. Rest at the place You deserve for your after life home
 
Eti malipo ya Uzinzi?????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji48][emoji48][emoji48] Utadhani hujawahi gonganaa vilee kumbe ukute hata usodoma umefanya kazi kukaa hapa Jt kuhukumu wenginee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umemwakia hivyo?[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Miwatu mipuuzi sana yani Nimeona comment zinamua attack huyu binti kama vile Wanamjua na wao hawana dhambi...!! Eti uzinzi wake ndo hayo malipo amepata.. mamaeee[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] yenyewe yanalalana huko na kusodomoana hatuyasemii...fwakenii

Ukweli mtupu...yaaan mtu akishaingia hapa anageuka kuwa mtakatifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ina ukakasi, kichwa kinasema mwanafunzi wa UDSM, habari inasema UDOM.... haya mambo ya magazeti ya udaku yana ukakasi pia
Ni mimi nasoma vibaya au? Mbona mi naona heading iko sawa kabisa?

RIP binti yetu
 
Kwahiyo huyo mtuhumiwa alikuwa anasambaza taarifa za msiba kabla hata mwili haujapatikana na kutambuliwa na wazazi? That is very suspicious
 
Sometime wasichana ni wajinga sana pengine alilazimisha kurudi likizo nyumbani ili akutane na mpenzi wake, R.I.P binti, huyo mchumba wake kazi anayo.
Mapenzi ni evolutionary mechanism ya kuhakikisha propagation ya human species, ndio maana yana nguvu, propagation in nature is of the utmost importance, ukitaka kuamini muite mwanaume punga uone atakavyoumia, maana yake ni kwamba umemuondolea ile sifa ya kuwezesha propagation, ndio maaana huuma sana!
 
Huenda wakiwa ghouse, husband to be alipitia simu ya wife to be akakuta vitu na sms zisizofaa. Katika prukushani, husband to be akawa amakamata mtandio wa mpenzi wake kiasi ukatelezea shingoni kuwa km anamkaba. Binti kuona anakabwa ( ingawa ilikuwa tisha toto), akahamaki na kumng'ata kikwelikweli husband. Husband akatapatapa na kukaza kidogo mtandio ili wife asiendelee kumng'ata. Kukawa na kusukumana huku na huku kiasi mtandio ukakaza zaidi...........Pole yao. Mungu aepushie mbali haya!!!
Hapana, kwa hoja yako ni kuwa ilitokea bahati mbaya na hakupanga kumuua, je alipata wapi ujasiri wa kutumia simu yake na hadi kutuma message kwa mama?maana according to familia ni kwamba kwenye saa nne ndio mama alituma msg na ikajibiwa na muda wote simu ilikuwa haipokelewi kwa maana kwamba alikuwa nayo huyo kijana,wakati huo Happy alikuwa ameshauwa mana mwili umeokotwa saa mbili.
Pili mwili umeokotwa na haujakutwa chumbani guest maana yake ulitupwa, moja kwa moja utaona ni mauaji ya makusudi na yaliyopangwa tangu mwanzo its just kwamba yalipangwa kizembe.
Huyu kijana hata akiachiwa na polisi bado mimi sitaelewa na nisikutane naye mtaani, atamrudisha Happy wetu.
 
Duh wazazi walijua tumeshamaliza kazi sasa mtoto wetu ataanza kutusaidia na sisi kumbe jamani inauma sana
 
Kumwita mtu mjinga kisa karudi likizo kwa influence ya kukutana na mpenzi wake si sahihi. Hii inatokea kwa jinsia zote, unapommis mtu wako alafu ni likizo unafkir unafanya nn kwa mfano
Sometime wasichana ni wajinga sana pengine alilazimisha kurudi likizo nyumbani ili akutane na mpenzi wake, R.I.P binti, huyo mchumba wake kazi anayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani simu yake haina SOS, kuna vitu vingine tunajitakia wenyewe tuu me mwenyewe nimeset SOS ingawa ni wa kiume ikitokea nimebananishwa naclick Power button three times notification inatumwa kwa watu watatu au hata phone book nzima kuna option pia ya kutuma pic na audio, Yaani hapa ukishaclick power button automatically front camera inafanya kazi yake na Simu inarecord audio na kutuma,.
Smartphonea siyo kwa ajili ya social networks tuu na vitu vingin3 vingine vyenye tija vipoooo
Mama
Kaka
Uncle huyu Yupo kitengo fulani nyeti hapa mjini na serikalini

SIKUFI KIJINGA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ILA PALE UNAKUTA WOTE WAMEZIMA SIMU NDO UTAKUFA KIJINGA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji870][emoji870][emoji870]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana, kwa hoja yako ni kuwa ilitokea bahati mbaya na hakupanga kumuua, je alipata wapi ujasiri wa kutumia simu yake na hadi kutuma message kwa mama?maana according to familia ni kwamba kwenye saa nne ndio mama alituma msg na ikajibiwa na muda wote simu ilikuwa haipokelewi kwa maana kwamba alikuwa nayo huyo kijana,wakati huo Happy alikuwa ameshauwa mana mwili umeokotwa saa mbili.
Pili mwili umeokotwa na haujakutwa chumbani guest maana yake ulitupwa, moja kwa moja utaona ni mauaji ya makusudi na yaliyopangwa tangu mwanzo its just kwamba yalipangwa kizembe.
Huyu kijana hata akiachiwa na polisi bado mimi sitaelewa na nisikutane naye mtaani, atamrudisha Happy wetu.
Bado ninaweza kuwa sahihi. Baada ya mauaji bila kukusudia, muuaji katika kutapatapa au msamaria mwema akachukua simu ya huyo binti na kuandika huo ujumbe.
 
lawama kwa wazazi wa mwanamke, je mama hakujua kwamba mwanaye ni mwanafunzi na anagawa papuchi? je dini inaruhusu kutoa uchi kabka ya ndoa? ka a sivyo wazazi walaumiwe, haya je wazazi wa kiume hawakujua mwanao ana demu na ni kinyume cha maadili? mpaka afikie kipindi cha kuoa? kama ndivyo basi walaumiwe wote kabisa,

mapenzi na shule ni mbingu na jehanamu, bora hata watoto wafundishwe kupiga puli kuliko mapenzi.
ZWAZWA
 
Back
Top Bottom