Mwamaleki
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 727
- 2,969
AliyejikitaMungu ampumzishe wapi mtoto mdogo aliyejikita kwenye uzinzi?
Keyword...aliyejikita [emoji58]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AliyejikitaMungu ampumzishe wapi mtoto mdogo aliyejikita kwenye uzinzi?
Ulitakiwa uisaidie polisiHuenda wakiwa ghouse, husband to be alipitia simu ya wife to be akakuta vitu na sms zisizofaa. Katika prukushani, husband to be akawa amakamata mtandio wa mpenzi wake kiasi ukatelezea shingoni kuwa km anamkaba. Binti kuona anakabwa ( ingawa ilikuwa tisha toto), akahamaki na kumng'ata kikwelikweli husband. Husband akatapatapa na kukaza kidogo mtandio ili wife asiendelee kumng'ata. Kukawa na kusukumana huku na huku kiasi mtandio ukakaza zaidi...........Pole yao. Mungu aepushie mbali haya!!!
Hatari sanaInasikitisha sana...Idrissa - Capital Punishment.
ULIWAHI KUCHEZA MOVIE AU? MBNA KAMA VILE INAWEZEKANA ULIKUWA ENEO LA TUKIO?Huenda wakiwa ghouse, husband to be alipitia simu ya wife to be akakuta vitu na sms zisizofaa. Katika prukushani, husband to be akawa amakamata mtandio wa mpenzi wake kiasi ukatelezea shingoni kuwa km anamkaba. Binti kuona anakabwa ( ingawa ilikuwa tisha toto), akahamaki na kumng'ata kikwelikweli husband. Husband akatapatapa na kukaza kidogo mtandio ili wife asiendelee kumng'ata. Kukawa na kusukumana huku na huku kiasi mtandio ukakaza zaidi...........Pole yao. Mungu aepushie mbali haya!!!