Dar needs 25 years to catch up with Nairobi - Says Baba Levo

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
Sio mimi niliyesema bali Mtanzania aliyetembelea na kuishi miji yote miwili.

Kwa doubting Thomases. Video ndio hii.............

Yes ,because we know which city has modern BRT, Electric SGR,modern hospitals,no slums,good water supply,modern roads.
 
Sio mimi niliyesema bali Mtanzania aliyetembelea na kuishi miji yote miwili.

Kwa doubting Thomases. Video ndio hii.............

Hawa watanzania shida yao inakuanga nini lakini? Sasa mtu anauliza kama Nairobi has a bridge like Tanzanite. Anataka tujenge bridge over Nairobi river? ama hile pond ya Uhuru Park?
 
Hawa watanzania shida yao inakuanga nini lakini? Sasa mtu anauliza kama Nairobi has a bridge like Tanzanite. Anataka tujenge bridge over Nairobi river ama ili pond ya Uhuru Park?
im done with you bro
tenor.gif
 
Hawa watanzania shida yao inakuanga nini lakini? Sasa mtu anauliza kama Nairobi has a bridge like Tanzanite. Anataka tujenge bridge over Nairobi river? ama hile pond ya Uhuru Park?
Nilikua najiuliza hilo swali pia. Huyu mtangazaji haelewi infrastructure is influenced a lot by geography. Yani watanzania wana low IQ wote hadi radio presenters.
Sasa kulingana na hiyo logic yake basi Dar imeendelea kuliko all inland cities e.g. Riyadh, Johannesburg, Abuja etc sababu hawana suspension bridge kwa mji. [emoji23]
 
Huyo babalevo ni mshamba mmoja Hiv kwanza hajatembea huyo
 
Nilikua najiuliza hilo swali pia. Huyu mtangazaji haelewi infrastructure is influenced a lot by geography. Yani watanzania wana low IQ wote hadi radio presenters.
Sasa kulingana na hiyo logic yake basi Dar imeendelea kuliko all inland cities e.g. Riyadh, Johannesburg, Abuja etc sababu hawana suspension bridge kwa mji. [emoji23]
Huyo babalevo ni mshamba mmoja huyo wenzake watanzania tumejaa huku south Africa hvo vitu ni Vidogo sana by the way Dar Inakuja vzur sana , Nairobi ni mji wenye CBD ndogo sana
 
Wewe na huyo mtangazaji hamna tofauti. Low IQ tu ndo zenu.
Asanti kwa kucompare Nai na South Africa maana Dar iko chini.
 
Sio mimi niliyesema bali Mtanzania aliyetembelea na kuishi miji yote miwili.

Kwa doubting Thomases. Video ndio hii.............

Ngoja nikuambie kitu Naiboi kuwa mji mzuri sio kitu kibaya wala Nairobi kuendelea sio kitu kibaya ila tatizo ni kwamba baadhi ya wakenya kama nyie kuona Dar es salaam sio kitu wakati kuna vitu vingi vya kisasa Dar zipo lakini Nairobi hamna.kwa kifupi hatujapishana Sana.
 
Sio mimi niliyesema bali Mtanzania aliyetembelea na kuishi miji yote miwili.

Kwa doubting Thomases. Video ndio hii.............

Weka criterias ili kuupa nguvu madai yako.mi ninauhakika kuna mambo mengi tumewapita na kuna mambo mnatupita.usiwe mwanasiasa weka facts.
 
Kawaida ya mtanzania akiwa kwako lazima akusifie ili umkarimu na aondoke salama, lakini ukweli akigeuka ukiwa haupo ndio atasema mabaya yako sasa, mlitaka aseme mnanjaa ili iweje
 
Back
Top Bottom