Dar needs 25 years to catch up with Nairobi - Says Baba Levo

Dar needs 25 years to catch up with Nairobi - Says Baba Levo

The fact that Kenyans are busy opening these kinds of threads kila wakati ni dhahiri sasa they are not confident enough with their shitty slumy tiny town ,
Dar has been built from the Scratch by 100% Tanzanians. and it has been transformed in just 20years ,
Na sasa it is under construction with huge potentials.
90% of competition based threads on this section of the forum are opened by Tanzanians. As I type this, there are 7 competition based threads on this front page and 5 of them are by Tanzanians. Unaumwa sababu zetu huwa ukweli mtupu, zenu ni ubishi tu.
 
Ola Dar na Nairobi vitu viwili tofauti Nairobi Moto mwengine jaman Kwanza MJi msafi umejengeka kweli labda labda labda haya maujenzi yote yanayofanyika yamalizike hapo Dar kidogo tunaweza kulinganisha lkn Kwa sasa Nairobi Iko juu.
 
Eti taa za chini za UREMBO za daraja la Tanzanite ziliwaka jana kwa mara ya kwanza. Tanzania tuko sawa! [emoji849] Hizo ndio huwa hojaless za kawaida za wale mataga sampuli ya kina joto la jiwe . [emoji1] Bure kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba Levo anawaambia ubungo interchange zimejaa kila kona Kenya tena zinapitia kote juu, chini na katikati
 
The fact that Kenyans are busy opening these kinds of threads kila wakati ni dhahiri sasa they are not confident enough with their shitty slumy tiny town ,
Dar has been built from the Scratch by 100% Tanzanians. and it has been transformed in just 20years ,
Na sasa it is under construction with huge potentials.
Umeongea kwa maumivu kaka, ukweli unabaki pale pale, maoni yako ni null and void 😂 😂 tulia ni weekend,
 
Mnaeleta taarifa za udaku. Kutoka kwa chawa 🤣🤣🤣
 
Najua ni wakati mgumu kua mdanganyika especially after hilo bonge la expose kutoka kwa Baba Levo[emoji23][emoji23]
wameteseka kweli, mtanzania na ukweli ni kama maji na mafuta, walizoeshwa propaganda, sasa ona wamefinywa pabaya 😂 😂 😂 😂
 
Najua ni wakati mgumu kua mdanganyika especially after hilo bonge la expose kutoka kwa Baba Levo[emoji23][emoji23]
Yaani tujadili na watu ambao hata kunya tu ni shida wanajisaidia kwenye flying
Ubatuletea stories za udaku. We are talking serious issues with evidences
 
Jamaa kasifia Nairobi akiwa nyumbani Dar., 😂😂😂😂😂., hii point yako ni zero tayari.wasafi fm studio haipo Nairobi., alikua anasimulia wenzake aliyo yashuhudia., amewaumiza sana huyu Levo.., nenda mkanyonge sio mzalendo yeye😂😂😂😂😂.,
baba level hapo TANZANIA ni kama kichaa, endeleeni kujisifu kwa kusifiwa na kichaa mwenzenu hahahahahahahahahahahaha
 
baba level hapo TANZANIA ni kama kichaa, endeleeni kujisifu kwa kusifiwa na kichaa mwenzenu hahahahahahahahahahahaha
Alikiri ukweli kama vile huyu hapa 👇 👇, na yeye ni kicha pia naona 😂 😂 😂 😂 , mnateseka sana aise! kubali yaishe mbona ufe na stress?

huyu pia kamaliza mjadala..,
 
Wewe na huyo mtangazaji hamna tofauti. Low IQ tu ndo zenu.
Asanti kwa kucompare Nai na South Africa maana Dar iko chini.
Nairobi ni mji mdogo huwez fananisha na dar , Dar cbd ni kubwa sana 3× compared to Nairobi , kiukwel Nairobi ni ndogo Sema wew Bado hujafika dar es salaam hata south Africa hujafika , wakenya tembea muone
 
Dodoma ni kubwa kushinda Nairobi, Johannesburg, Lagos, Kampala, Mombasa etc..
What are you trying to say?
Screenshot_20211204-153442.jpg
 
Back
Top Bottom