Dar needs 25 years to catch up with Nairobi - Says Baba Levo

Dar needs 25 years to catch up with Nairobi - Says Baba Levo

Kichaa akona followers 1.6m wewe mwenye sio kichaa ukona ngapi?
Mzee kuwa na followers kwenye IG ni issue kumbe!?
Diamond Plutinumz yupo na followers 13.7m lakini hana impact yoyote TZ
Screenshot_20211204-170808.png
 
Sio mimi niliyesema bali Mtanzania aliyetembelea na kuishi miji yote miwili.

Kwa doubting Thomases. Video ndio hii.............

Fool was fooling at his capaciry,That babalevo is less minded fellow so he praised your city for only what he had seen in city centre
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Fool was fooling at his capaciry,That babalevo is less minded fellow so he praised your city for only what he had seen in city centre
Actually, Nairobi gives Dar a bigger beating outside the CBD than within. At least, Dar can compete Nairobi on CBD but estates? Not even close. Be happy Baba Levo didn't travel around to sample Nairobi's estates.
 
Jamaa kasifia Nairobi akiwa nyumbani Dar., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., hii point yako ni zero tayari.wasafi fm studio haipo Nairobi., alikua anasimulia wenzake aliyo yashuhudia., amewaumiza sana huyu Levo.., nenda mkanyonge sio mzalendo yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].,
Sasa hapo jamaa kasifia ile n
njia ya juu ndefu hapo kenya wakati njia yenyewe ni kichekesho kwa sababu ni njia ya kulipia inamilikiwa kikoloni, sema wakenya mshukuru JPM kafariki vinginevyo mngejuta
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba Levo anawaambia ubungo interchange zimejaa kila kona Kenya tena zinapitia kote juu, chini na katikati
Wakenya tuwaambie mara ngapi .....[emoji849][emoji849]kenya interchange without brt system tanzania interchange with brt system msije sema atukuwaambia
 
Actually, Nairobi gives Dar a bigger beating outside the CBD than within. At least, Dar can compete Nairobi on CBD but estates? Not even close. Be happy Baba Levo didn't travel around to sample Nairobi's estates.
Estates ni mali ya wachache ,biashara ya estates tanzania siyo nzuri ndiyo maana kenya inaonekana imepangika ila imekuwa kama kota maana nyumba za estates zinafanana
 
Estates ni mali ya wachache ,biashara ya estates tanzania siyo nzuri ndiyo maana kenya inaonekana imepangika ila imekuwa kama kota maana nyumba za estates zinafanana
Who said, kenya when you buy land and want to build you must build by certain standards good example, if its runda youve bought land your house must sit atleast on half acre or more,etc si nyumba ya mabati then next to it ni mansion like dar
 
Inaitwa controlled planning, tena hizo sheria zinajumuisha eneo lote ambalo lipo chini ya Nairobi Metropolitan. K.m. ndani ya Gatuzi kama za Kiambu, Murang'a, Kajiado na hivyo hivyo pia kwenye 'urban areas' za miji mingine nchini Kenya.

Leo hii ukinunua ardhi kwenye maeneo ya kule kwetu gatuzi la Kajiado, ambayo yapo ndani ya mipaka ya Nairobi Metro, hauwezi ukajenga kiholela holela. Tena serikali ya gatuzi la Kajiado imeongeza sheria zingine za ziada. Ukinunua ardhi kule kabla ya kuanza kujenga lazima utenge eneo la kupandia miti kote pembeni, yaani 'round' ndani ya mipaka ya ardhi yako. Iwe ni kwenye ardhi ya kujengea kiwanda, nyumba private ya kuishi au hata unit za kukodisha.

Kenya hii ndugu yangu inasonga mbele kimaendeleo, kwa kasi ya ajabu na isitoshe tena kwa mikakati ambayo inaeleweka.
 
Back
Top Bottom