Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Baadhi ya wakazi wa Kimara Kibo, Dar es Salaam wanaoishi kando ya mto Gide wamelazimika kuhama baada ya mto huo kutanuka na kusomba nyumba 16.
Waathirika wa tukio hilo wameomba msaada kwa wakati huu ambao baadhi yao wanahifadhiwa kwa majirani huku wengine wakisemekana kufariki kwa mshtuko.
Baadhi ya wananchi wamedai wao hawakuufuata mto bali mto uliwafuata wao na kuwapa madhara hayo.