figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Upelelezi wa Jeshi la Polisi ulifanikiwa kuwaokoa wahanga hao tarehe 16 huko maeneo ya Mbezi Beach Kinondoni. Watekaji waliwatake na kudai ndugu wawapw Dola za Kimarekani Milioni moja 20 ili wawaachie huru.
Watuhumiwa wanne wamekamatwa.
Polisi wamewataja watuhumiwa kwamba ni
1. Deng Anqing miaka 49, raia wa China
2. Fan Zhong miaka 49, raia wa China
3. Zhang Jianjun miaka 51, raia wa China
4. Deng Qiang miaka 40, raia wa China.
Kwamba Wamekutwa na simu za wahanga na vielelezo vingine.
Kwamba huko katika majengo pacha ya 'PSSSF' Mtaa wa Mission llala Jijini Dar es Salaam watu wawili
1. Weiyi Chen miaka 64, mfanyabiashara, raia wa China na
2. Liang Xiolo miaka 44, mfanyabisahara raia wa China ilidaiwa walivamiwa na kutekwa na kundi la wahalifu waliodaiwa kuwa saba nakupelekwa kusiko julikana.
Polisi wamedai eti wamepata namba za magari ambayo yalidaiwa kutumika katika tukio hilo.
Gari moja wapo lililokamatwa baadae lilikutwa likiwa na namba T.305 DRP aina ya Toyota Alphard ambazo sio namba halisi za gari hilo na gari lingine lililokamatwa ni lenye namba T.188 DHT aina ya Toyota Harrier.
MY TAKE;
Je, huu ni Mwanzo wa kuwashughulikia wasiojulikana? Nasubiri kuona waliomteka David Jumbe wakifikishwa kwenye vyombo vya dola kwa sababu wanajulikana na Polisi inawajua.