Dar: Polisi yazima maandamano, yakiri kumshikiliwa Sheikh Ponda kwa mahojiano

Tokea Nyerere Tanzania ipo upande wa palestine.... kingine maandamano sio msimamobwa taifa hata uingereza, Spain etc kumekua na maandamano ya kupinga ukatili wa Israel. Msimamo wa wananchi sio msimamo wa serikali.

Wanataka kuleta uchochezi na taharuki.
Washughulikiwe bila huruma
 
Watu mnasema mbona hawajaandamanis katiba mara rushwa, wote tunafahamu hali ya maandamano yanavoogopwa na serikali ya chama cha kijani
Kwa kisingizio kikubwa cha vurugu na ghasia

Hii ilikua fursa nzuri ya kuonyesha kua maandamamo hayana shida yoyote,
Na hili serikali imelifahamu na kupelekea kuyathibiti kwa maana zoezi lingekamilika kwa bila tatu yoyote ingekus ngumu kwao kuja thibiti maandamano ysnayohusu mambo ya nchi hii


#maoni
 
Kama ni taarifa ndio tushawapa.Tuwacheni tuandamane wiki ijayo.
Sio mtufuate kupiga kampeni zenu peke yake za ukimwi na kuomba mvua wakati wa ukame.
Kwani polisi kinawauma nini waislamu Tanzania kuungana na wenzao Ulaya na Marekani kutetea wapalestina.
Tanzania ina maslahi gani na kuuliwa wapalestina
Iwapo hatujamrudisha balozi wetu.Hata maandamano pia mnazuia.
 
Wapo upande wa Hamas... lazima wawe crushed... Hamas washafutwa na Dunia kama kuna wengine hadi watatafutwa wamalizwe... wacha tuwafahamishe Mosad
 
Wanakijiji wa kijiji fulani walifanyiwa ukatili na askari, mlikaa kimya, wamasai walhamishwa kinguvu na taarifa kibao za kufanyiwa ukatili lkn mlikuwa kimya. Leo hii Palestine ndo zinawagusa?! Hv na swala ya bandari pia haikuwagusa?!
 
Haya ni aina ya maandamano yanastahi kuruhusiwa na kupewa ulinzi. Wako wapi leo vijana wa ccm. Enzi ya mwalimu nyerere sio kina shekh ponda ndio wangeandaa maandamano kuiunga mkono palistina na kulaani israel. Wangekua vijana wa ccm ndio wangepanga maandamano hayo.
Hivi leo tunajidai eti diplomasia ya kiuchumi. Vijana wetu wasomi wanaenda israel kufanya umanamba kutumikishwa mashambani kwa ujira mdogo halafu taifa linakubali kuzibwa mdomo kuhusu dhuluma wanayofanyiwa wapalestina na israeli. Israel inasaidia nini cha msingi tanzania. Hawa hata ukikaribisha wawekezaji watakuibia na kukudhulumu tu. Ni nchi ya kukaa nao mbali kwa ubaya wa mioyo yao.
 
Ukiwauliza hao waliotaka kuandamana wanaelewa hata chanzo cha mzozo ni nini hawajui zaidi utaskia tunatetea waislamu wenzetu 😂😂😂😂 kongo sudani hakuna waisalmu mkayetee ya mashariki huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…