macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Na Mwinyi aliuza Loliondo. Na pia kipindi chake kulikuwa na ufisadi uliopitiliza. Ila siamini ni kwa sababu ni waislam. Kuna waislam wengi tu ni wazalendo. Nadhani ni culture ya eneo walilozaliwa na kukulia.Badala muandamane, Hamas iwaachie ndugu zetu nyie mnawasupport magaidi.
Bandari imeuzwa, tunawaambia huu mkataba ni mbaya ila mwisho mnakuja kulalamika wakristo wanairudisha nchi nyuma.
Ufisadi mkubwa unafanywa na maraisi wa kiislamu.
- Kikwete aliuza gesi mtwara
- Samia ameuza Loliondo na Bandari.
Hawa wavaa kobazi, hawana akili kbsa