Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa

Bora Sasa kama wamesikia Kilimo Cha Wananchi na kuanza kuchukua hatua 👇👇

View: https://youtu.be/U0d1P-CJ3zQ?feature=shared
 
Lakini kuna warundi na wanyarwanda wengi tu ni bodaboda, rushwa ndiyo imetufikisha huku
 
Mkuu huku usukumani kuna sehemu inaitwa NYARUGUSU wameanza na kuoa wanaishi kabisaa!!!!Wasukuma wanajiona wajanja kuolewa au kuwa na wakwilima weupe!!Pathetic
 
Jafo ,anasema anaunda tume kuchunguza😂😂😂.
Kwani hawaoni wachina na mikokoteni??
 
Ni jambo jema, ila hiyo tume naona kama ina ukakasi kiasi...
1). Haina mwanasheria wa kuwawezesha kubaini kiwango cha ukiukwaji wa sheria unaofanywa na hao wawekezaji bandia, na wanaowabeba.
2). Imesheheni "civil servants" wengi mno ambao hawajui mambo mengi kuhusu biashara.
Ingefaa kuwa na wawakilishi wa wafanyabiashara wa sekta mbalimbali nchini, maana kote huko kuna shida.
3). Too many CEOs kwenye kamati. Hao wamezoea kutuma siyo kutumwa kufanya wenyewe.

Mwisho, maandiko, ushauri na mapendekezo ya tume nyingi hufanywa siri, na hutumiwa na watawala kama njia ya kujikosha tu na "kufunika kombe mwanaharamu apite".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…