Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Vyema vikao huleta utatuzi na suluhu mengine ni majaliwa na mpango wake paul kagame,Museven na Tshekedi!Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025.
Pia soma:
- Rais Samia akishiriki mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na serikali wa SADC nchini Zimbabwe
- Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo
- Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC walaani mashambulizi ya M23 na RDF, waunga Mkono juhudi za Kidiplomasia kutatua mgogoro huu
Wamekuwa Wali(mwali)??Wako nyuma ya pazia
Kweli mkuu swali kama hili unauliza hujui kama jf ina watu wa kila angleumejuaje? wanaonesha live?
Jana ndo mawaziriAcha kukurupuka
Mkutano wa maraisi ni kesho ...Leo n mkutano wa mawaziri wa ulinz na wa kigeni .....
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sio kwamba unawashwa mkuu?Acha kukurupuka
Mkutano wa maraisi ni kesho ...Leo n mkutano wa mawaziri wa ulinz na wa kigeni .....
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mkutano wa marais ni keshoKagame amawasili....
Wangegombana na Kagame.Mikutano kama hii imkute Jakaya kikwete mwanadiplomasia ambaye anajua kucheza na akili za watu yaani hata Jambo liwe gumu kiasi gani atarifanya kuwa rahis
Unaishi Venus au?Mkutano wa marais ni kesho
Diplomasia inataka watu matapeli, waongo waongo na wanafiki.Mikutano kama hii imkute Jakaya kikwete mwanadiplomasia ambaye anajua kucheza na akili za watu yaani hata Jambo liwe gumu kiasi gani atarifanya kuwa rahis