Dar: Rais Samia ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025

Dar: Rais Samia ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025

Hawa marais wa Africa hawapo serious.

Marais waliopo
Tanzania
Zambia
Kenya
Somalia
Rwanda
Uganda
Zimbabwe
DRC online
South Africa online/muwakilishi
Burundi muwakilishi
Angola muwakilishi
Kitendo cha hao maraisi wawili ambao ndio wanaopambana hasa na m23 yaani 1. Rais wa DRC. 2. Rais wa S.A. Ni ishara kwamba vita hii haitapatiwa ufumbuzi hivi karibuni. Lakini pia historia ya kudunguliwa ndege iliyokuwa imewabeba maraisi wa Rwanda na Burundi. Kagame hajambo. Museveni nimemwona, aiseee! Amezeeka. Raisi Samia hongera kwa kufanya juhudi za upatanishi, ukimaliza hilo basi kaa na CHADEMA muyajenge. Maana inasemekana kuwa "no reforms no ellections" Ukijua kuwapatanisha majirani. Jua pia namna ya kutatua changamoto za nyumba yako.
 
Hayupo serious..... wangewaacha DRC wapigike..
Kwa Hali hii, naona hao Viongozi wengine waliohudhuria mkutano huu kwa chini chini watawahamasisha Waasi wa M23 kuendelea mbele zaidi na Mipango yao.

Aidha, Viongozi hao Waliohudhuria Mkutano huu wanapaswa watoe shinikizo kubwa sana la kumlazimisha Tsekedi na Utawala wake huko DRC kukutana na hao Waasi wa M23 ili wamalize tofaufi zao.
Kwa kufanya hivyo kutawatengenezea njia rahisi kwa Waasi wa M23 kuweza Kujitangazia Uhuru wao na Kujitengenezea Taifa lao mpya la Jamhuri ya Watu wa Kivu. Hii pia itasaidia sana katika mchakato wa nchi hiyo mpya ya Kivu kutambulika kiurahisi na Jumuiya za Kimataifa na kuweza kusajiliwa haraka zaidi na Umoja wa Mataifa (UN) kama Taifa Jipya hapa duniani.
 
Mwamba yupo bongo macho makavuuuuu!!!!!!

Anawacheza shere tuu kwa wale wanaomjua kagame kama mimi tujeni kuwahurumia Hawa wansodhani Kuna chembe ya ubinadamu kwa roho ya Kagame
 
Acheni kuwahangaisha wanajeshi wetu....warudi nyumbani waendelee kula maisha.

Sio DRC wala Burundi wanaohitaji suluhisho la hii vita.
 
Mwamba yupo bongo macho makavuuuuu!!!!!!

Anawacheza shere tuu kwa wale wanaomjua kagame kama mimi tujeni kuwahurumia Hawa wansodhani Kuna chembe ya ubinadamu kwa roho ya Kagame
hakuna warrant ya kumkamata na diplomasia haisapoti kukamatwa
 
Acheni kuwahangaisha wanajeshi wetu....warudi nyumbani waendelee kula maisha.

Sio DRC wala Burundi wanaohitaji suluhisho la hii vita.
kwa hiyo waachwe wabondane wenyewe huko?
 
Mwamba yupo bongo macho makavuuuuu!!!!!!

Anawacheza shere tuu kwa wale wanaomjua kagame kama mimi tujeni kuwahurumia Hawa wansodhani Kuna chembe ya ubinadamu kwa roho ya Kagame
Kupanga ni kuchagua. Huwezi shindana na Banyamulenge. Kama MONUSCO walinyoosha mikono hao wafanya maonyesho ya kuvunja matofali kila tarehe 09/12 hapo Lupaso watamuweza KP na Banyamulenge?
 
Back
Top Bottom