Dar: Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20

Dar: Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20

Hivi wakti ana hutubia hapo zoezi lili simama au lilikuwa liki endelea
 
Maza nae mpole mpole sana, walau Majaliwa hata alitoa maagizo baadhi ya watu wakamatwe akiwemo mmiliki wa jengo.

Mkulu angewala vichwa wasimamizi wa majengo na wale waliotoa vibali jengo litinduliwe chini.
 
Kutoa mahela ya machawa wafurahi ni fasta, kutoa hela za kuboresha Uokoaji ..... Kuna kiongozi ana roho ngumu
 
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili hivi punde Kariakoo, Dar es Salaam, ambapo jengo la Gorofa liliporomoka Jumamosi na kusababisha vifo vya watu na wengine kujeruhiwa....
Ifike wakati hawa viongozi hasahasa Afrika waaache kumsingizia Mungu. Hili jengo kuporomoka ni matokea ya uzembe. Waliopoteza maisha ni matokeo ya uzembe.
 
Ningejisikia vizuri zaidi endapo wahusika wote wangewajibishwa kwa kuchukuliwa hatua kali za kisheria 🤔🤔🤨🤨
 
Rais Samia ameahidi kuweka wazi matokeo ya Tume ya kuchunguza Ubora wa majengo ya Kariakoo akisema jengi lililoporomoka linaashiria udhaifu wa Kiutendaji na uwajibikaji wa mamlaka za serikali na wamiliki wa Jengo.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCmJVnHqYhZ/?igsh=a3JieHBwY3Q1N3Zl

My Take
Kama alivyosema Rais kwamba Tume 2 nimewahi undwa kabla ,nasubiria kuona utofauti wa Tume ya Sasa .

Good move.
 
ili kufanya hivyo ilipaswa awe na uchungu, ila hana uchungu wowote. Ingekuwa mtu mwenye busara angeghairisha safari na kutuma mwakilishi, badala yake kaendelea na mambo yake tu.

Huyu mama akapumzike tu, maana hata kiakili hayupo kiuongozi, ni kama mtu aliejichokea tayari.
Atume muwakilishi nae anataka asafiri, akaseti mipango yake sawa.
 
Back
Top Bottom