utala utala TU
Senior Member
- Aug 13, 2024
- 187
- 275
Ajabu sana,afu mi nilitegemea Kuna watu watachukuliwa hatua za kisheria mapema sana,lakini hat speak ya uyu mama haionyeshi ilo kama limefanyikaWatu wachache sana wamesababisha msaafa, mpaka sasa wapo uraiani wanapiga mvinyo huku wanasubiri sakata lipoe waanzishe dili lipya. Kumbuka bila madili mjini hakuishiki